Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 991
Ha ha,Naishi masaki sisi huku masaki hatuna vigodoro
Braza kuna Wimbo nautafuta,
Waliimba Kwanza Unit ulikua wa Kiengereza lakini Chorus ya Kiswahili,
Uliitwa "Utaona".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha,Naishi masaki sisi huku masaki hatuna vigodoro
Bugs Malone na marehemu Zomba...Sijaisikia tena toka enzi hizo, Bugs alikuwa active Youtube recently anarap badoHa ha,
Braza kuna Wimbo nautafuta,
Waliimba Kwanza Unit ulikua wa Kiengereza lakini Chorus ya Kiswahili,
Uliitwa "Utaona".
Ndo hao hao walioimba ndio,Bugs Malone na marehemu Zomba...Sijaisikia tena toka enzi hizo, Bugs alikuwa active Youtube recently anarap bado
Ndo hao hao walioimba ndio,
vipi unao huu wimbo
Ngoja nitakutaftia dada angu usijaliHa ha,
Braza kuna Wimbo nautafuta,
Waliimba Kwanza Unit ulikua wa Kiengereza lakini Chorus ya Kiswahili,
Uliitwa "Utaona".
Ndugu una uhakika na hii taarifa?Hashim alitoa nyimbo moja tu iliyovuma...namfahamu huyu vzr tumekuwa pamoja maeneo ya Upanga alikuwa anakaa mtaa wa Lugalo kwny magorofa ya madaktari halaf akahamia Ilala
ila duke kweli alikula vyombo..huyo Jamaa hata roho 7 hamuwezi """Sawa nimekosea kusema hajui,ila duke wewe nakufahamu kitambo sana kweli umeona Hashim ni mwana hiphop bora Africa nzima,au ulikula vyombo kabla ya kupost hii! Mimi huwa naona Hashim ni msanii anayejijua yeye mwenyewe. Na kujijua kwake kukafanya akimbie game baada ya kuiona mbele yake mapema.
duke tachez"" wewe ni pro yule wa M.lab''''?Mbona unachanganya madesa wewe, Hip Hop sio muziki kama unavyodhani wewe
hahaaa hili sio jukwaa lake "" aanzishe topic YAKE"Acha wenge wewe kwani theolojia umesoma peke yako tz nzima???? Lete nondo hizo
Unasemaje???Hizi ID mpya hiziiii hovyo sana
OkUnasemaje???
...kama hujui unachofanya,hujui unapokwenda/fikiri kabla ya kutenda/vitabu vilishachomwa/iliandikwa haikusomwaBugs Malone na marehemu Zomba...Sijaisikia tena toka enzi hizo, Bugs alikuwa active Youtube recently anarap bado
Kama hujui unapotoka,...kama hujui unachofanya,hujui unapokwenda/fikiri kabla ya kutenda/vitabu vilishachomwa/iliandikwa haikusomwa
!
!
/Kama unabisha we Utaona!!
HARUFU unayo hii ngoma?
...RIP Zomba!
...dadadeq!..we demu ni mmoja kati ya 1.5 trillion!Kama hujui unapotoka,
hujui unapokwenda,
fikiri kabla ya kutenda,
fanya unavyopenda,
iliandikwa haikusemwa, fanya mapema sasa nasema.
vitabu vimeshachomwa, sitarudia tena,
Na kama unajua we UTAONA.
Trillion hizi hzi za CAG, lol!!!...dadadeq!..we demu ni mmoja kati ya 1.5 trillion!
.much respect!