Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

HipHop waachieni wenyewe Wamarekani. Wekeni nguvu nyingi kwenye Singeli itawatoaa.
 
Roho 7 n mc wa kawaida sana ,watu wengi wanapenda beats za ngoma zake Ila kiuwezo na mfananisha na kina stamina
We jamaa hujuagi wachenguaji wakali,ule uzi wako eti sugu ni wa kawaida sana anashindwa hata na country boy(mpaka lipstick)...hapa eti unamfananisha roho7 na stamina!!!???
Yani hata ukimleta mtoto mdogo umsikilize nyimbo za hao jamaa ataona tofauti
 
Afadhari useme wewe...anatuletea wasanii ambao hip hop ilishawashinda
 
Nadhani wengi tunashindwa elewa kuwa.. “KILA MTU ANAWEZA KURAP, ILA SIO KILA ANAYERAP ANAFANYA HIPHOP”
 
Mkuu kuwa swala tano huku unawauzia watu kitimoto ni sawa na kutaka kwenda mbinguni bila kufa
Kwani watu wakifa wanaenda mbinguni? Fundisho hilo umelitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…