Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
HipHop waachieni wenyewe Wamarekani. Wekeni nguvu nyingi kwenye Singeli itawatoaa.View attachment 739483
Hashimu Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji, tofauti na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye.
Nimekutana naye Msasani leo Ustadhi Hashim, hataki tena kufanya muziki. Yeye kwa sasa amekuwa ustadhi swala tano!