Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Ama kwa hakika sina la kusema zaidi ya kusema leo sina cha kuongea zaidi, Ila Ahsante kwa kuzaliwa April mosi.
 
Anapendwa na nani? Hadi Sasa ripoti ya mauaji ya Ali Kibao bado, Soka na wenzake bado hawajasema walipo na mafisadi kwa mujibu wa CAG hawajachukuliwa hatua za kisheria. Anapendwa kwa kutofanya hayo yote na mengine?
 
Waambie hao CHAWA wasiojielewa.
 
Peleka umbea na uchawa wako huko.
 
Pumbafu
 
Lucas Mwashambwa the headless chicken is here again! Yaani usiku wa manane unaandoka upumbavu? Huo muda ungeutumia kupiga bao si ingekuwa bora kabisa?
 
Zilaaniwe Shahawa zilizokuzaa CHOKO wewe
 
CHAWA sawa na KICHAA, KICHAA ukimwambia wewe ni kichaa hawezi kukubali
 
Kuna wakati mtu inabidi useme na njaa zako..!! vinginevyo watu wanaweza wakanya mdomoni kwako..!!
 
Tunajua pia kama siyo yeye usingezaliwa, mtetee tu kwa kua kufanya hivyo unapata mlo wako na familia yako inaenda chooni.
 
Hakika Mungu Yuko nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…