Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ban linakujaje kwani lucas ni mod?Unatutafutia ban tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ban linakujaje kwani lucas ni mod?Unatutafutia ban tuu.
Umesamehewa bure kabisaKondomu, P2 au kumwaga nje kungesaidia uzi huu wa Lucas Mwashambwa kutokuwepo hapa jukwaani hii leo
Acheni matusi.Ban linakujaje kwani lucas ni mod?
Upo sahihi kabisa mkuu huyu shetani anatakiwa kuwa MirembeHata
Hata pale Milembe vichaa huwa wanawaona madaktari ndo vichaa,
Uwe na adabu dogo.Kimsingi wewe ni chizi haswa
Yapi?au luka umeupiga mwingi mchana huu najua huu msimu wa neema kwa wengine?Acheni matusi.
Naona umeamka nazo dogoUpo sahihi kabisa mkuu huyu shetani anatakiwa kuwa Mirembe
Acha kusifia wa mama wa watu sifia wazazi wako upate baraka wewe mjingaUwe na adabu dogo.
Wewe ni mtoa msamaha?Kama hivyo niwaombee msamaa wa kwenda ununio na mapori ya mnyama wa madoa doaUmesamehewa bure kabisa
Kutwa unasifia ujinga wako hapa bila sababu za msingi, jifunze kujadili maendeleoNaona umeamka nazo dogo
Mimi naongea ukweli na siyo kusifia.wewe huwezi ukaelewa maana si unajua kichwa chako kilivyo kibovuKutwa unasifia ujinga wako hapa bila sababu za msingi, jifunze kujadili maendeleo
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna mwanadamu mmoja na Raia mmoja ambaye kwa sasa ndiye anayependwa , kukubalika,kuungwa mkono na mwenye ushawishi wa hali ya juu sana hapa Nchini.Ndiye Binadamu ambaye asipoonekana hata kwa siku moja tu hadharani watu wanaanza kumtafuta kama Pesa.Ni kiongozi ambaye anapendwa na watu wa makundi yote na mwenye kuheshimika sana hapa Nchini.
Huyu ndiye kiongozi na Mtu ambaye maneno yake tu huwafanya wagonjwa waliolazwa wodini na mahospitalini kupata tabasamu na nafuu na kujihisi wamepona wamuonapo mbele ya nyuso zao .ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kuwapa faraja watu wenye majeraha mioyoni mwao.ndiye kiongozi ambaye kwa sasa ameteka mioyo ya mamilioni ya watanzania. Ndiye kiongozi pekee mwenye uwezo wa kuzungumza na kusikilizwa na kuaminika na kuaminiwa kwa jambo lolote lile.
Ndiye kiongozi ambaye amebeba matumaini na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania mikononi mwake,ndiye kiongozi ambaye watu wote humtizama yeye kama nyota ya asubuhi kwa wavuvi.ndiye mtu ambaye watu wana imani ya kutimiza ndoto zao kupitia yeye.ndiye kiongozi ambaye amefanya mioyo na vifua vya watanzania kujawa na furaha ,amani, utulivu, matumaini na matarajio makubwa sana.
Anapendwa , kukubalika,kuungwa mkono ,kuaminika na kuwa na ushawishi Hapa Nchini kwa sababu Maisha yake hapa Duniani yamefanyika kuwa baraka kwa mamilioni ya watu .kwa sababu amegusa mioyo na Maisha ya mamilioni ya watanzania,kwa sababu ameleta tabasamu na matumaini kwa watu,kwa sababu ameleta nuru katikati ya Giza ya maisha ya watu,kwa sababu ameonyesha njia ya matumaini kwa watu waliokuwa wapo njia panda.kwa sababu amewezesha wengi kutimiza ndoto zao,kwa sababu kila uchao umekuwa bora kuliko jana kwa watanzania.
Huyu ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.huyu ndiye mboni ya Taifa letu .ndiye aliyebeba na kushikilia furaha ya mamilioni ya watanzania.kwahakika Mama huyu jasiri , shupavu, imara, hodari na madhubuti ataendelea kuwa nguzo ya Amani ya Taifa letu kwa ulimi wake,matendo yake na uchapakazi wake utakuwa msingi wa ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Huyu Mama ni kama Maji tu usipoyanywa utayaoga tuuu utake usitake. Huwezi kumkwepa wala kumchafua wala kumpaka matope.Maana kibali alichopewa na Mungu kuongoza Taifa hili hakiwezi kunyang'anywa na Mwanadamu wala kuharibiwa na mtu mbele za watanzaniaView attachment 3160299View attachment 3160300
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi wazazi wako hawajawahi kukufanyia jema hata moja? kwanini usilete uzi wa kuwasifia hapa tukupe like za kutosha? shetani kabisa weweMimi naongea ukweli na siyo kusifia.wewe huwezi ukaelewa maana si unajua kichwa chako kilivyo kibovu
Nani anataka like kutoka kwa chizi.Hivi wazazi wako hawajawahi kukufanyia jema hata moja? kwanini usilete uzi wa kuwasifia hapa tukupe like za kutosha? shetani kabisa wewe
Kwamba wazazi wako hawana jema kwao? shetani kabisa weweNani anataka like kutoka kwa chizi.
Rais Samia ni Mama wa akina Mama wote aliyegusa Maisha ya akina Mama wote akiwepo Mama yako.Kwamba wazazi wako hawana jema kwao? shetani kabisa wewe
Aliyekusa maisha ya mama angu ni Mungu pekee hawa wengine siwatambui na siwezi kumtukuza mtu kisa aniteue, kuruhusu umasikini wa fikira ni ujinga mkubwa sn ndiyo maana wewe umebaki kama ombaomba, jinga kabisa umasifia mtu ambaye hata hakujuiRais Samia ni Mama wa akina Mama wote aliyegusa Maisha ya akina Mama wote akiwepo Mama yako.
Wewe akili yako ilishaharibika.