Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini


Naomba data za utafiti wako. Utafiti umeufanya wapi, umeuliza wananchi wangapi tujue bila shaka kama kuna ukweli ndani yake.
 
Rais Samia ni Mama wa akina Mama wote aliyegusa Maisha ya akina Mama wote akiwepo Mama yako.
Aliyekusa maisha ya mama angu ni Mungu pekee hawa wengine siwatambui na siwezi kumtukuza mtu kisa aniteue, kuruhusu umasikini wa fikira ni ujinga mkubwa sn ndiyo maana wewe umebaki kama ombaomba, jinga kabisa umasifia mtu ambaye hata hakujui
 
Wewe akili yako ilishaharibika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…