matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani.
Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana.
Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo Mwamba, wanasema ameibadili Sana Geita. Wakatoa mifano mingi.
Wanaomfahamu Zaidi mnaweza kukuweka hapa details zake ingawa nasikia Yuko benchi Sasa amepishishwa ili Wengine nao watumike.
Ila Mimi aliwahi kunifanya niangalie TBC saa nzima. Siku alikuwa na kipindi anaelezea mikakati ya maendeleo mkoani mwake.