Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Gaucho anapendwa na wengi labda kwasababu ya Nyota, kuwa timu ya TaifA ya Brazil ambayo naamini hata wewe ulikua shabiki, hana hasira yeye ni kitabasamu time yote, kuuchezea mpira kama kazaliwa nao......kama ni brand management, sasa brand management za players wengine mbona haziwatangazi wakwao???
Unaona sasa unavojitia kitanzi? "KUUCHEZEA MPIRA KAMA KAZALIWA NAO" Maneno yako mwenyewe hayo au nimekulisha maneno mkuu? Ushaanza kutambua kama Dinho ndio Fundi mwenyewe tayari. Suala la brand management ni la kitoto. Kwa sababu mi ntakuuliza mbona Harmorapa hajafikia level za kina diamond? Leo Diamond Anatoa wimbo mbovu lakini watu wanaushabikia. Pia nitakuuliza mbona Brand ya tecno haijafikia ata robo ya brand ya Nokia?
 
Hahahahaha we jah mgumu kuelewa sana, nshakuambia gaucho namheshimu sana Ila bado hajamfikia messi kwa
Magoli

Consistency ya kiwango

Assist

Makombe kama Uefa, Laliga, copa de larey, club world cup, supercup isipokua world cup tu

Individual prizes kama Balloon Dior, pichichi, golden boot nk nk

Hivi vyoote ni mjumuisho ambao unamfanya Messi awe superior kwa Gaucho......nauhakika wewe gaucho unampendea chenga zake Ila kwa upande wa mafanikio ukimcompare na messi unapata kigugumizi.fuulstop
 
14d4351f9a5c2601377e5ad10d4771b7.jpg
 
Sasa mi nkuulize, Huyo maradona na Pele vipi utamfananisha na Dinho kwa vigezo vyako ulivotoa? Hapa tunazungumzia Mpira. Nani mchezaji mpira? hatuzungumzii mataji. Mataji yanashindaniwa in teamwork. Au ushawahi kuona Messi kachukua UEFA akiwa pekeake? We unajua kuwa kuna wachezaji hawajawahi kucheza mechi ata moja lakini anataji la UEFA? 😀 Tuongee mpira. Na umekiri kuwa Dinho kwa mpira kama alozaliwa nao. Kwaio tulia pembeni. Ronaldinho is the best in Football na alivokuwa best he doesnt need Media attention. People automatically loves him. Hata Rivals wanampenda, muulize Gattuso alivonyanyaswa na dinho na bado hamchukii. Muulize ramos nae alivokosa haki zake za kibinaadamu mbele ya dinho na bado hamchukii.
 
Mi nachojua nje ya barca huyo ni nesi tu na ndio maana hataki kung'atuka huko kwa kuwa anajua watu wataufahamu UK well wake kuwa anabebwa na timu na si kama Ronaldo,popote yeye ni kambi tu
Nilisikia kuwa, analipa fadhila. Maana barca walimgharamia matibabu akiwa mgonjwa kipindi cha utoto wake kabisa
 
Hahahahaha we jah mgumu kuelewa sana, nshakuambia gaucho namheshimu sana Ila bado hajamfikia messi kwa
Magoli

Consistency ya kiwango

Assist

Makombe kama Uefa, Laliga, copa de larey, club world cup, supercup isipokua world cup tu

Individual prizes kama Balloon Dior, pichichi, golden boot nk nk

Hivi vyoote ni mjumuisho ambao unamfanya Messi awe superior kwa Gaucho......nauhakika wewe gaucho unampendea chenga zake Ila kwa upande wa mafanikio ukimcompare na messi unapata kigugumizi.fuulstop
Unajua what is funny? Unakuja kutwambia eti messi ni level za kina Pele 😀 kisha unakuja kumfananisha messi kimataji na Dinho. Sasa ukimfananisha kwa mataji, hivi Pele anamfikia Messi kweli? Au Maradona anamfikia Messi kweli? Mana maradona na Pele kila mmoja ana mataji 13 Messi ana mangapi? Ukitaka hivo basi Pele na maradona huwezi kuwafananisha na CR7, mana hawamfikii kwa mataji yake! Ndio maana nkasema nyie mpira mmeanza kuushabikia Sheikh Mansoor aliponunua Man city.
 
To me hakuna mchawi wa mpira kama cr7!

Messi anabebwa na barca...alafu ronaldo amecheza ligi nyingi tofauti na messi! Messi yuko barca tuuu!! Cr7 kaanzia huko ureno then akaenda man united kama kawaida akakimbiza ligi ngumu kabisa ya uingereza!!

Baada ya hapo akaamia laliga na kama kawaida anamkosesha usingizi hata huyo messi!!

Mpira ukija left anakumaliza ukija right hakuachi...njoo kwa messi sasa...ukitaka umuweze mlazimishe atumie mguu wa kulia uone atavyoyumba!!

Messi baada ya kufungwa na chile akasema anaiacha timu ya taifa huu si ujinga?? Yaani captain unaogopa challenge za kufungwa??

Haya njoo kwa ronaldo! Kwenye ligi ya mataifa ya ulaya hamna aliyeipa ureno nafasi ya kuchukua kombe!! Ila chini ya uongozi wa ronaldo ureno ikabeba kombe!!

Jamaa alikua anawamotivate wachezaji wenzake mpaka unashangaa...huyu ndio captain...sio unafungwa unaacha kuchezea timu ya taifa!!

Cr7 sio wa dunia hii...

Msimu huu hana mpinzani kwenye baloon d'or!!
We unaangalia mpira kwa kutumia kisogo?
 
Unajua what is funny? Unakuja kutwambia eti messi ni level za kina Pele 😀 kisha unakuja kumfananisha messi kimataji na Dinho. Sasa ukimfananisha kwa mataji, hivi Pele anamfikia Messi kweli? Au Maradona anamfikia Messi kweli? Mana maradona na Pele kila mmoja ana mataji 13 Messi ana mangapi? Ukitaka hivo basi Pele na maradona huwezi kuwafananisha na CR7, mana hawamfikii kwa mataji yake! Ndio maana nkasema nyie mpira mmeanza kuushabikia Sheikh Mansoor aliponunua Man city.
Nmekupa data, nakuona unaruka kwa kutumia mgongo wa Pele na maradona......hapo messi na dinho kuna vipengele vingi sana nmefananisha na mataji yakiwepo.
 
sina nliporuka. Naona wewe una avoid kitu ambacho umekiongelea mwenyeo. Mmesema Messi ni level za kina maradona na pele, sikujua umetumia kigezo gani asa, lakini nikaja kujua kuwa umetumia kigezo cha mafanikio katika mpira. Wakati hapa ishu kubwa ni nani mchezaji wa mpira mzuri ama bora. Nikashangazwa sana kuwa umetumia vigezo hivo kisha ukamueka Level moja na Pele, ukweli umemdegrade kwa sababu pele hakupata mafanikio kama aloyapata messi zaidi ya World cup kama Dinho mchezaji ulombeza na kusema kuwa anasifika kwa kutia mpira mate. Vigezo ulivotumia vipo kwenye category ya mchezaji alopata mafanikio mengi na havipo katika category ya mchezaji mzuri. Mchezaji mzuri hapimwi kwa taji, Huwezi kumfananisha Bravo na Joe Hart kisa bravo anataji la UEFA. Wewe ndio unaeruka ruka tu. Kwa mataji hakuna ubishi messi anayo mengi kuliko Dinho, lakini kwa mpira Dinho hatoki kwenye huu ulimwengu
 
Miaka minne mfululizo aliyochukua Balon D'or Messiah, mashabiki wa Ronaldo walikaa kimya.
Sasa ni zamu ya mashabiki wa Measiah kukaa kimya, maana Ronaldo kismati kimemuandama msimu huu na zile tap ins zake.
Yote kwa yote, nawapenda wote kwa kila mafanikio ya mmoja wapo.
 
Mnaoshabikia CR7 hapa ni Wanawake Mnaotumia ID za Kiume
 
  • Thanks
Reactions: PNC
sina nliporuka. Naona wewe una avoid kitu ambacho umekiongelea mwenyeo. Mmesema Messi ni level za kina maradona na pele, sikujua umetumia kigezo gani asa, lakini nikaja kujua kuwa umetumia kigezo cha mafanikio katika mpira. Wakati hapa ishu kubwa ni nani mchezaji wa mpira mzuri ama bora. Nikashangazwa sana kuwa umetumia vigezo hivo kisha ukamueka Level moja na Pele, ukweli umemdegrade kwa sababu pele hakupata mafanikio kama aloyapata messi zaidi ya World cup kama Dinho mchezaji ulombeza na kusema kuwa anasifika kwa kutia mpira mate. Vigezo ulivotumia vipo kwenye category ya mchezaji alopata mafanikio mengi na havipo katika category ya mchezaji mzuri. Mchezaji mzuri hapimwi kwa taji, Huwezi kumfananisha Bravo na Joe Hart kisa bravo anataji la UEFA. Wewe ndio unaeruka ruka tu. Kwa mataji hakuna ubishi messi anayo mengi kuliko Dinho, lakini kwa mpira Dinho hatoki kwenye huu ulimwengu
Lionel Messi, voted the best player in the history of football

Barça star Messi is considered the best player to ever have played the game

In Voetbal International's rankings he is ahead of Maradona and Johan Cruyff

Barcelona star Lionel Messi has been ranked the best player to ever play football by famous Dutch magazine 'Voetbal International'. Messi, the captain of the Argentina side, is ahead of both Diego Maradona and Johan Cruyff.

The oldest football magazine in Holland highlights Messi's 30 titles with Barça and the numerous individual awards he has won, all while still being 29. Cristiano Ronaldo, his great rival at Real Madrid, is not in the top five.

Diego Armando Maradona, who is second, is chosen for his performances with Argentina at Mexico 1986, as well as his other achievements in club football, while third place is occupied by former Barça player and manager Johan Cruyff.

The rankings in the magazine, which is ready by 800,000 people every week, have caused quite a stir...

Here is the ranking of the top five:

1. Lionel Messi (Argentina).2. Diego Armando Maradona (Argentina).3. Johan Cruyff (Holland).4. Pelé (Brazil).5. Alfredo Di Stéfano (Spain/Argentina).

Congratulations to Messi ohhhhh[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
 
Asante sana @ PNC katika ubora wako.haya ndio mambo tunayoyataka.
 
sina nliporuka. Naona wewe una avoid kitu ambacho umekiongelea mwenyeo. Mmesema Messi ni level za kina maradona na pele, sikujua umetumia kigezo gani asa, lakini nikaja kujua kuwa umetumia kigezo cha mafanikio katika mpira. Wakati hapa ishu kubwa ni nani mchezaji wa mpira mzuri ama bora. Nikashangazwa sana kuwa umetumia vigezo hivo kisha ukamueka Level moja na Pele, ukweli umemdegrade kwa sababu pele hakupata mafanikio kama aloyapata messi zaidi ya World cup kama Dinho mchezaji ulombeza na kusema kuwa anasifika kwa kutia mpira mate. Vigezo ulivotumia vipo kwenye category ya mchezaji alopata mafanikio mengi na havipo katika category ya mchezaji mzuri. Mchezaji mzuri hapimwi kwa taji, Huwezi kumfananisha Bravo na Joe Hart kisa bravo anataji la UEFA. Wewe ndio unaeruka ruka tu. Kwa mataji hakuna ubishi messi anayo mengi kuliko Dinho, lakini kwa mpira Dinho hatoki kwenye huu ulimwengu

Mimi nitakupa jibu fupi tu.Messi ni level ya wakina Maradona na Pele, na still kawazidi pia. na ukiingia TOP 5 mwargentina uyo The LEO 10 utamkuta yupo.

Sasa nikuulize alafu usikimbie,,,uje na jibu moja na sitaki maelezo mengi.

NAOMBA UNILETEE LIST INAYOONESHA GAUCHO ALIPO NDANI YA TOP 5. NASUBIRI JIBU HAPA SIONDOKI.
 
Back
Top Bottom