steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
halafu ni tz na nigeria tu wanakosemaga ronaldo ni bora ila africa nzima inajua messi ni bora
Huyo labda ni Africa ya kwenu huko kolomije mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu ni tz na nigeria tu wanakosemaga ronaldo ni bora ila africa nzima inajua messi ni bora
Kwaiyo kama hao watu wamekushikia akili zako unataka na wengine washikiwe akili zao?pele, maradona, ferguson,de lima. figo na wengine wengi wanaojua mpira wanasema Messi ni Bora kuwahi kutokea kuliko ata Ronaldo na imefikia Mahala wakasema ni Bora Kuliko ata wao Sasa wewe ni Mwanamke Gani unasema CR7 ni bora Kuliko MAGICAL MESSI
Mguu wa kushoto wa messi ni zaid ya miguu miwili ya cr7 plus kichwa chakeTo me hakuna mchawi wa mpira kama cr7!
Messi anabebwa na barca...alafu ronaldo amecheza ligi nyingi tofauti na messi! Messi yuko barca tuuu!! Cr7 kaanzia huko ureno then akaenda man united kama kawaida akakimbiza ligi ngumu kabisa ya uingereza!!
Baada ya hapo akaamia laliga na kama kawaida anamkosesha usingizi hata huyo messi!!
Mpira ukija left anakumaliza ukija right hakuachi...njoo kwa messi sasa...ukitaka umuweze mlazimishe atumie mguu wa kulia uone atavyoyumba!!
Messi baada ya kufungwa na chile akasema anaiacha timu ya taifa huu si ujinga?? Yaani captain unaogopa challenge za kufungwa??
Haya njoo kwa ronaldo! Kwenye ligi ya mataifa ya ulaya hamna aliyeipa ureno nafasi ya kuchukua kombe!! Ila chini ya uongozi wa ronaldo ureno ikabeba kombe!!
Jamaa alikua anawamotivate wachezaji wenzake mpaka unashangaa...huyu ndio captain...sio unafungwa unaacha kuchezea timu ya taifa!!
Cr7 sio wa dunia hii...
Msimu huu hana mpinzani kwenye baloon d'or!!
halafu tz wengi wao wanaomsifia penado ni wanaume wa darhalafu ni tz na nigeria tu wanakosemaga ronaldo ni bora ila africa nzima inajua messi ni bora
Kama messi anajua ronaldo ni mchezaji bora na ronaldo anajua messi ni mchezaji bora sasa nyie mnabishana nini???KING hana kaul mbaya hata angeulizwa kuhusu Giroud angesema hvohvo kuwa ni mmoja ya wachezaj bora duniani na anaimprove siku baada ya siku![]()
sasa mmroco alishawahi ifikisha timu yake final ya kombe la dunia?Hahahaaaaa,utetezi wa kitoto sana,sa fainali bila kombe ndio mafanikio?,na ubingwa wa olympic unafanana na ubingwa wa mataifa ya ulaya?????
Mguu wa kushoto wa messi ni zaid ya miguu miwili ya cr7 plus kichwa chake
Kama messi anajua ronaldo ni mchezaji bora na ronaldo anajua messi ni mchezaji bora sasa nyie mnabishana nini???
Ooh messi bora kuliko ronaldo na mda huo huo messi mwenyewe anasema ronaldo ni bora na kumpongeza kwa mafanikio!! Yani siwaelewi kabisa!
CR7 alicheza fainali za euro dakika mbili alafu unasemaje ndo aloipa ubingwa we jah?? Eder ndo aloipa ubingwa wa Euro Portugal......sema unajitoa ufahamu tuKafanya nini uko Argentina? Mwenzake kaipa Euro Portugal! Argentina ni proof kuwa Messi bila wenzake wa barca hanaga magaga 😀
Mpaka aliamua kuretire at such a young age!! Amejijua kama nje ya barca na spain nyota haina mwangaza wa kutosha
Na kazipa taji gani? Unajua nini hebu wacha nikuekee video uone huyo mchezaji wako alivokuwa aking'arishwa na Legend Ronaldinho halafu utajua how dependent he is.Kiaipa Olympic kaifikisha Final world cup
sasa mmroco alishawahi ifikisha timu yake final ya kombe la dunia?
Mahaba yakizidi unageuka kuwa mchawi sasa, namheshimu sana gaucho Ila hajamfikia messi kwa magoli, idadi ya makombe isispokua world cup tu, assist, pichichi, golden boots, Uefa, laliga, copa de larey yaani everything......Dinho kamzidi messi labda kwenye kupaka mate mpira, kombe la dunia na kuwa na nyota ya kupendwa na watu baasi.Mi nlipoona anataja wachezaji wake watatu tu duniani nilicheka sana. Eti messi mbele ya dinho jamani. jamaa mpira kaanza kutizama juzi huyu.
Na kazipa taji gani? Unajua nini hebu wacha nikuekee video uone huyo mchezaji wako alivokuwa aking'arishwa na Legend Ronaldinho halafu utajua how dependent he is.
Eder ndo aloipa ubingwa ureno, punga CR7 baada ya kuona gemu ngumu akazuga kuumia dakika ya pili ili aepuke lawama.....Eder ndo kichwa wa fainaliHahahaaaaa,utetezi wa kitoto sana,sa fainali bila kombe ndio mafanikio?,na ubingwa wa olympic unafanana na ubingwa wa mataifa ya ulaya?????
utofauti upi au wa kufikia kwenye timu iliyojaa wazee 😛 😛 😛 umeanza kuhamisha magoliHahahaaaaa, mkuu,fainali bila kuchukua ndoo ni ukolo,yaani kwenye world record unaifikiria wewe tu ila kwa waelewa kama sisi haina maana kabisa,muulizeni basha wenu guadiola anajua tofauti kati ya LA liga na ligi zinginezo
Mkuu ufundi wa messi ni wakawaida sana tu. Ni media tu ndio zinampa sifa. Yaani ukitizama chenga zake kwanza ni za kawaida, anachowazidi wenzake ni kuwa sharp tu. Lakini mtu mzima dinho ukimtizama manjonjo yake unajua asa kama ule mpira umempigia saluti, anavisha na kumvua mtu kanzu apo apo, afu brudani yake anatoa pasi ata hatizami na inafika. Ndo mana nkasema huyu ni Engineer. Anajua kuupamba mpira ukapenda kuutizama, yaani mpira akiugusa dinyo tu basi ata kama yupo timu pinzani sura inajawa na bashasha, ndio nkasema ni Artist. Msela wamuache tu, Dinho sijapata kuona!Achana na dinho mkuu,huyo yupo mbali sana,huyo si wa sayari hii,huyo Ronaldo wa ureno tu acha wa Brazil,de Lima,hamkuti,huyo nesi ni wa kawaida sana sijui wanamuoverate VP yaani!!!
uko sahihi kabsa mkuu kiukweli tunamuheshimu DINHO tena saaaaana ila si kama.anavyodai huyo mshabiki wa MoroccoMahaba yakizidi unageuka kuwa mchawi sasa, namheshimu sana gaucho Ila hajamfikia messi kwa magoli, idadi ya makombe isispokua world cup tu, assist, pichichi, golden boots, Uefa, laliga, copa de larey yaani everything......Dinho kamzidi messi labda kwenye kupaka mate mpira, kombe la dunia na kuwa na nyota ya kupendwa na watu baasi.
We huoni kama izo chenga za kawaida kwa ronaldinho? hebu icheki hio video kwanza kisha ndio urudi hapa uone njonjo za uwanjani.View attachment 522135 ni kweli hata hii pasi alipewa na dinho
Mkuu ufundi wa messi ni wakawaida sana tu. Ni media tu ndio zinampa sifa. Yaani ukitizama chenga zake kwanza ni za kawaida, anachowazidi wenzake ni kuwa sharp tu. Lakini mtu mzima dinho ukimtizama manjonjo yake unajua asa kama ule mpira umempigia saluti, anavisha na kumvua mtu kanzu apo apo, afu brudani yake anatoa pasi ata hatizami na inafika. Ndo mana nkasema huyu ni Engineer. Anajua kuupamba mpira ukapenda kuutizama, yaani mpira akiugusa dinyo tu basi ata kama yupo timu pinzani sura inajawa na bashasha, ndio nkasema ni Artist. Msela wamuache tu, Dinho sijapata kuona!