PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Hahahaaaaaaaaaaaa,Photoshop pics hazijawahi kumwacha MTU salamaa,mbilikimo atabaki kuwa mbilikimo tu,hata lunyamila hamuweze itakuwa CR...,huyo sio wa sayari hii mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaaaaaaaa,Photoshop pics hazijawahi kumwacha MTU salamaa,mbilikimo atabaki kuwa mbilikimo tu,hata lunyamila hamuweze itakuwa CR...,huyo sio wa sayari hii mkuu
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛Mnanimalizia chaji tu,hivi nyie mbona aio waelewaaaaa?
Ndo unagundua saizi kuwa chaji inaisha, don't mess with King Messi Next timeMnanimalizia chaji tu,hivi nyie mbona aio waelewaaaaa?
Yupi kati ya Cr7 na Messi ana trophies nyingi sana katika maisha yao ya soka ?Mwisho wa sikuuuuuu,trophless,hapo ndipo msipoelewa mashabiki wa mbilikimo,ukipiga makanzu,matobwa n.k halafu huchukui makombe inasaidia nn sasa,mbilikimo ni akili ndogo kama kilivyo kimo chake mkuu
Akikujibu nitagYupi kati ya Cr7 na Messi ana trophies nyingi sana katika maisha yao ya soka ?
Yupi kati ya Cr7 na Messi ana trophies nyingi sana katika maisha yao ya soka ?
Ndo unagundua saizi kuwa chaji inaisha, don't mess with King Messi Next time
Akikujibu nitag
Huna lolote, una beat around the bush tuAshakutag huyo mwenzio?
😀 wachezaji tu wapo wengi ata simba na yanga wapo.... lakini Legend Ronaldinho, Engineer, artist hajapata bado mpinzani uwanjani. Ni one man Army. Hategemei Apewe assists, ama wachezaji fulani ndio acheze vizuri. Sijawahi kusikia kuna mechi kafunikwa, hakuonekana uwanjani, au hakufanikiwa alichokuwa anataka kufanya. Mchezee foul atasmile, Hashindi magoli ya mkono kama maradona, magoli yake ni ya uhakika na Amaizingi, huyo messi mwenyewe huyo ni mwalimu wake, na bado hajamfikia ata robo, naona anakimbia tu uwanjani, Dinho amejaa manjonjo, ukimtizama unapata burudani. Dinho hana hater, hata wapinzani wake wanamkubali, huyu ndio true Legends, usifananishe kabisa na funza wa barca ambae tangu ajue mpira anaogopa kutoka nje ya barca. Nawashangaa mnapomfananisha na CR7, CR7 nae ni one man army, amestruggle, amecheza soka nje ya Spain, amekutana na changamoto za uingireza. Tunataka kumuona Messi akicheza nje ya barca, nje ya spain, akiweza huko nje tena kwenye big leagues ndio muje hapa mumsifie mbele ya cr7. Tafadhali sana, Dinho hawezi fananishwa na hao jamaa kabisa.kuna wachezaji watatu duniani
MESSI
MARADONA
PELLE
KING hana kaul mbaya hata angeulizwa kuhusu Giroud angesema hvohvo kuwa ni mmoja ya wachezaj bora duniani na anaimprove siku baada ya sikuKiukweli hata messi amempongeza ronaldo! Guys hawa watu wanajuana! Sisi tuko busy kubishana...
Haya ni maneno ya kinywa cha lionel messi mwenyewe! Sasa sijui nyie mnabishana nini??
![]()
![]()
Cc PNC 1
😀 wachezaji tu wapo wengi ata simba na yanga wapo.... lakini Legend Ronaldinho, Engineer, artist hajapata bado mpinzani uwanjani. Ni one man Army. Hategemei Apewe assists, ama wachezaji fulani ndio acheze vizuri. Sijawahi kusikia kuna mechi kafunikwa, hakuonekana uwanjani, au hakufanikiwa alichokuwa anataka kufanya. Mchezee foul atasmile, Hashindi magoli ya mkono kama maradona, magoli yake ni ya uhakika na Amaizingi, huyo messi mwenyewe huyo ni mwalimu wake, na bado hajamfikia ata robo, naona anakimbia tu uwanjani, Dinho amejaa manjonjo, ukimtizama unapata burudani. Dinho hana hater, hata wapinzani wake wanamkubali, huyu ndio true Legends, usifananishe kabisa na funza wa barca ambae tangu ajue mpira anaogopa kutoka nje ya barca. Nawashangaa mnapomfananisha na CR7, CR7 nae ni one man army, amestruggle, amecheza soka nje ya Spain, amekutana na changamoto za uingireza. Tunataka kumuona Messi akicheza nje ya barca, nje ya spain, akiweza huko nje tena kwenye big leagues ndio muje hapa mumsifie mbele ya cr7. Tafadhali sana, Dinho hawezi fananishwa na hao jamaa kabisa.
Kafanya nini uko Argentina? Mwenzake kaipa Euro Portugal! Argentina ni proof kuwa Messi bila wenzake wa barca hanaga magaga 😀View attachment 522116 hapa ndani ya Barca
😀 wachezaji tu wapo wengi ata simba na yanga wapo.... lakini Legend Ronaldinho, Engineer, artist hajapata bado mpinzani uwanjani. Ni one man Army. Hategemei Apewe assists, ama wachezaji fulani ndio acheze vizuri. Sijawahi kusikia kuna mechi kafunikwa, hakuonekana uwanjani, au hakufanikiwa alichokuwa anataka kufanya. Mchezee foul atasmile, Hashindi magoli ya mkono kama maradona, magoli yake ni ya uhakika na Amaizingi, huyo messi mwenyewe huyo ni mwalimu wake, na bado hajamfikia ata robo, naona anakimbia tu uwanjani, Dinho amejaa manjonjo, ukimtizama unapata burudani. Dinho hana hater, hata wapinzani wake wanamkubali, huyu ndio true Legends, usifananishe kabisa na funza wa barca ambae tangu ajue mpira anaogopa kutoka nje ya barca. Nawashangaa mnapomfananisha na CR7, CR7 nae ni one man army, amestruggle, amecheza soka nje ya Spain, amekutana na changamoto za uingireza. Tunataka kumuona Messi akicheza nje ya barca, nje ya spain, akiweza huko nje tena kwenye big leagues ndio muje hapa mumsifie mbele ya cr7. Tafadhali sana, Dinho hawezi fananishwa na hao jamaa kabisa.
Mi nlipoona anataja wachezaji wake watatu tu duniani nilicheka sana. Eti messi mbele ya dinho jamani. jamaa mpira kaanza kutizama juzi huyu.Ndugu yangu utamaliza chaji yako bure tu,hawaelewi kabisa hao Machalii wako
Mi nlipoona anataja wachezaji wake watatu tu duniani nilicheka sana. Eti messi mbele ya dinho jamani. jamaa mpira kaanza kutizama juzi huyu.
Kiaipa Olympic kaifikisha Final world cupKafanya nini uko Argentina? Mwenzake kaipa Euro Portugal! Argentina ni proof kuwa Messi bila wenzake wa barca hanaga magaga 😀
Mpaka aliamua kuretire at such a young age!! Amejijua kama nje ya barca na spain nyota haina mwangaza wa kutosha
Kiaipa Olympic kaifikisha Final world cup