Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Hahahaaaaaaaaaaaa,Photoshop pics hazijawahi kumwacha MTU salamaa,mbilikimo atabaki kuwa mbilikimo tu,hata lunyamila hamuweze itakuwa CR...,huyo sio wa sayari hii mkuu
3e8f1a0bbdc5d0357e4a994e1f542c07.jpg
 
Mwisho wa sikuuuuuu,trophless,hapo ndipo msipoelewa mashabiki wa mbilikimo,ukipiga makanzu,matobwa n.k halafu huchukui makombe inasaidia nn sasa,mbilikimo ni akili ndogo kama kilivyo kimo chake mkuu
Yupi kati ya Cr7 na Messi ana trophies nyingi sana katika maisha yao ya soka ?
 
Kiukweli hata messi amempongeza ronaldo! Guys hawa watu wanajuana! Sisi tuko busy kubishana...

Haya ni maneno ya kinywa cha lionel messi mwenyewe! Sasa sijui nyie mnabishana nini??

bbf1fa7348d640225d80ab49930c5661.jpg
6073c83786ff00807de40ca7c24e1158.jpg

Cc PNC 1
 
kuna wachezaji watatu duniani

MESSI

MARADONA

PELLE
😀 wachezaji tu wapo wengi ata simba na yanga wapo.... lakini Legend Ronaldinho, Engineer, artist hajapata bado mpinzani uwanjani. Ni one man Army. Hategemei Apewe assists, ama wachezaji fulani ndio acheze vizuri. Sijawahi kusikia kuna mechi kafunikwa, hakuonekana uwanjani, au hakufanikiwa alichokuwa anataka kufanya. Mchezee foul atasmile, Hashindi magoli ya mkono kama maradona, magoli yake ni ya uhakika na Amaizingi, huyo messi mwenyewe huyo ni mwalimu wake, na bado hajamfikia ata robo, naona anakimbia tu uwanjani, Dinho amejaa manjonjo, ukimtizama unapata burudani. Dinho hana hater, hata wapinzani wake wanamkubali, huyu ndio true Legends, usifananishe kabisa na funza wa barca ambae tangu ajue mpira anaogopa kutoka nje ya barca. Nawashangaa mnapomfananisha na CR7, CR7 nae ni one man army, amestruggle, amecheza soka nje ya Spain, amekutana na changamoto za uingireza. Tunataka kumuona Messi akicheza nje ya barca, nje ya spain, akiweza huko nje tena kwenye big leagues ndio muje hapa mumsifie mbele ya cr7. Tafadhali sana, Dinho hawezi fananishwa na hao jamaa kabisa.
 
Kiukweli hata messi amempongeza ronaldo! Guys hawa watu wanajuana! Sisi tuko busy kubishana...

Haya ni maneno ya kinywa cha lionel messi mwenyewe! Sasa sijui nyie mnabishana nini??

bbf1fa7348d640225d80ab49930c5661.jpg
6073c83786ff00807de40ca7c24e1158.jpg

Cc PNC 1
KING hana kaul mbaya hata angeulizwa kuhusu Giroud angesema hvohvo kuwa ni mmoja ya wachezaj bora duniani na anaimprove siku baada ya siku
dda425ea4fe66b8908e7b55a14e154f5.jpg
 
😀 wachezaji tu wapo wengi ata simba na yanga wapo.... lakini Legend Ronaldinho, Engineer, artist hajapata bado mpinzani uwanjani. Ni one man Army. Hategemei Apewe assists, ama wachezaji fulani ndio acheze vizuri. Sijawahi kusikia kuna mechi kafunikwa, hakuonekana uwanjani, au hakufanikiwa alichokuwa anataka kufanya. Mchezee foul atasmile, Hashindi magoli ya mkono kama maradona, magoli yake ni ya uhakika na Amaizingi, huyo messi mwenyewe huyo ni mwalimu wake, na bado hajamfikia ata robo, naona anakimbia tu uwanjani, Dinho amejaa manjonjo, ukimtizama unapata burudani. Dinho hana hater, hata wapinzani wake wanamkubali, huyu ndio true Legends, usifananishe kabisa na funza wa barca ambae tangu ajue mpira anaogopa kutoka nje ya barca. Nawashangaa mnapomfananisha na CR7, CR7 nae ni one man army, amestruggle, amecheza soka nje ya Spain, amekutana na changamoto za uingireza. Tunataka kumuona Messi akicheza nje ya barca, nje ya spain, akiweza huko nje tena kwenye big leagues ndio muje hapa mumsifie mbele ya cr7. Tafadhali sana, Dinho hawezi fananishwa na hao jamaa kabisa.
19029326_505034299832096_828086807208523702_n.jpeg
hapa ndani ya Barca
 
Ndugu yangu utamaliza chaji yako bure tu,hawaelewi kabisa hao Machalii wako
 
Mi nlipoona anataja wachezaji wake watatu tu duniani nilicheka sana. Eti messi mbele ya dinho jamani. jamaa mpira kaanza kutizama juzi huyu.
 
Achana na dinho mkuu,huyo yupo mbali sana,huyo si wa sayari hii,huyo Ronaldo wa ureno tu acha wa Brazil,de Lima,hamkuti,huyo nesi ni wa kawaida sana sijui wanamuoverate VP yaani!!!
 
Kafanya nini uko Argentina? Mwenzake kaipa Euro Portugal! Argentina ni proof kuwa Messi bila wenzake wa barca hanaga magaga 😀

Mpaka aliamua kuretire at such a young age!! Amejijua kama nje ya barca na spain nyota haina mwangaza wa kutosha
Kiaipa Olympic kaifikisha Final world cup
 
Back
Top Bottom