Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

Lissu ameanzia mbali sana na hili ni jibu nzuri sana kwa watu wanaohoji eti Lissu amefanya nini kwa watanzania, asante sana.
 
Reactions: BAK
2002 na 2020.. kwa kweli..
Yeye nani.. asibadilike alivyo sio mzalendo siku hizi.. tamaa ya pesa ajaze tumbo.. inamtawala.. tabu upinzani na yeye kuwa wakili.. hakusoma hata ya NEC.. tamaaa.. kukurupuka mbele..

Magufuli πŸ’―
 
You risk commiting grave sin against wananchi when you say Lissu is not bold enough to help! Lissu by far outweighs jiwe when it comes to truth, committment, aggressiveness and professionalism in leadership. In Lissu's government we'll witness order, equality and the seriousness we were deprived of in the last 5 years. Magu has succeeded in one thing only; propaganda, and he's reaping just what he sowed.
 
Stupid, you don't have any single example to support your stupid ideas about lissu helping beberus to steal our resources, but there are plenty of evidence of those who are fleecing our beloved country for decades including hiding the details of those contracts.

Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

Nimekuambia achana na simple thinking. If you have the capacity use your brain to think deeply.
 
Haki iko katika damu ya Lissu. Siyo mtu wa kujifanya kwa manufaa fulani... Ndio ukweli huo. Sisi watu wa zamani tunamfahamu vizuri.
 

..TL alishirikiana na wananchi wa Tarime kupambana na makampuni ya madini na vibaraka wao wa ccm.

..kama umemsikiliza akizungumza Tarime TL alisema kwamba alipofika huko mwaka 2003 kulikuwa na hofu kubwa kuhusu protest ya aina yoyote dhidi ya dhuluma iliyokuwa ikiendelea.

..lakini mdogo-mdogo wananchi walijenga imani na uzalendo na walipambana mpaka wakaweza kuwatoa wananchi zaidi ya 400 toka mahabusu na jela za serikali. na harakati hizo zilikuwa tokea mwaka 2003 mpaka 2007.

..utaona kwamba harakati hizo ziliendeshwa maeneo yenye migodi, ktk mahakama zetu, na kushirikisha marafiki wa Tz walioko ktk nchi ambazo makampuni ya madini yanatokea.
 
Ni hao utopolo tu Mkuu wanaotumika na wahuni wa ccm ndiyo wasiojua uzalendo wa Lissu. Huwezi kamwe kulinganisha uzalendo wa Lissu na huyo aliyekosa uzalendo hata wa wa 1%.

Lissu ameanzia mbali sana na hili ni jibu nzuri sana kwa watu wanaohoji eti Lissu amefanya nini kwa watanzania, asante sana.
 
Huwa sijibishani na waenda wazimu because people will not notice the difference. Baki na baba yako Tundu Lissu. Majibu na aibu utaipata tarehe 28/10/2020. Haitatokea hata siku moja nchi yetu ikaongozwa na schizophrenia (wendawazimu) kama wewe na lissu wako.
 
Ungekuwa siyo taahira ungejibu uzi niliyokuwekea kuhusu kauli ya polepole na majizi ndani ya ccm ambayo amezuiwa kuyataja hadharani. Eti nawe unajiita Dr Akili
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ peleka UZWAZWA wako Lumumba siyo humu. Tangu leo utaitwa Dr ZWAZWA.

 
Huwezi kumsikia Lissu au hata mimi tukiudharau ubinadamu wetu na akili tulizojaliwa na Muumba kwa kujiita JIWE na KICHAA Dr ZWAZWA.


 
Kila mtu hapa anatoa maoni yake kulingana na anavyoona yeye! Hili jukwaa si la babaako kwamba kila anaetoa maoni lazima yakupendeze wewe!

Ni jukwaa huru hili tunajdili kidemocrasia siyo kichadema.
Sawa mkuu ila mawazo mengine niya kipumbavu beyond repair kama hayo yako
 
Wakora mwaka huu mtapigwa spana za kila aina ,Box, Fix Bisibisi zote zinawahusu
 
2002 na 2020.. kwa kweli..
Yeye nani.. asibadilike alivyo sio mzalendo siku hizi.. tamaa ya pesa ajaze tumbo.. inamtawala.. tabu upinzani na yeye kuwa wakili.. hakusoma hata ya NEC.. tamaaa.. kukurupuka mbele..

Magufuli πŸ’―
Mwaka huu maji mtayaita mma
 
Heshimu mamlaka iliyokulea na kukusomesha tena bure hadi kufikia hapo ulipo. Mamlaka hiyo ni TANU/ CCM iliyoongoza nchi hii tangia mwaka 1961 baada ya kumung'oa mkoloni. CCM ndiyo baba yako na ndiyo mama yako. Ndiyo iliyoruhusu vyama vingi vya kisiasa kwa lengo la kupata fikra bora bora mbadala kutoka kwa wawakilishi wa wananchi ili kuboresha utawala wa nchi na kuongeza kasi ya maendeleo. Bahati mbaya sana kenge kama nyie wakapata mwanya wa kutaka kuvuruga nchi. Mwisho wenu ni tarehe 28/10/2020. Baada ya hapo hamutasikika wala kuonekana tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…