Kipindi hicho alikuwa anaenda vizuri sana, wakati huo selikali kwa mujibu wa Mnyika ilikuwa dhaifu sana!
Sasa alipoingia Magu akaanza kushughulikia hayo ndio Lisu alipogeuka adui.
Kiufupi Lisu huwa anacheza ma wakati kulingana na kiongozi aliyepo madarakani na hufanya hivyo kwa manufaa yake.
Lisu angekuwa serious angeungana na Magufuli kupigania alichokuwa analipigania kwa muda wa hiyo miaka 30
Lakini yeye aligeuka akawa upande wa hao wezi huku akisema tutashitakiwa.
Kwa hivyo ni sahihi kusema kwamba Lisu alikuwa anapiga kelele, ili kelele zake ziwe zinampa kipato toka kwa hao wezi.