Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

Acha ujinga wewe! Siheshimu mamlaka za Majizi, Mafisadi, Dhalimu, Waongo, Watekaji, Watesaji, wanaodharau katiba, raia, bunge na mahakama na pia WAUAJI hiyo nakuachia wewe Dr ZWAZWA.

 
Mbona umepanic aisee, ni nini mbaya?
Jamaa ameuliza swali zuri kwa reference ya mwenezi Polepole, badala kujibu unatukana,huoni kuwa inaonyesha kuwa wewe u mjinga?
 
Mwl NYERERE aliwahi kusema "CCM SI MAMA YANGU" na huyu ni muasisi wa chama, leo Kuna watu bado mnafikiria chama kuwa "baba na mama" yako?

Halafu aliyesema CCM ndiyo inasomesha watu nani? Maana kodi zinalipwa na raia wote, haijalishi vyama vyao,sasa unawezaje kujiita "Dr" hata haka ka Jambo kadogo tu HAUJUI?
 
Lisu amewatetea wamiliki wa asili wa mashamba na maeneo yao hata kuwatoa jela watz Zaid ya 230 waliofungwa kwa dhuluma na serikali ya Mkapa walipopinga kuporwa na kufukuzwa maeneo yao ili kupisha uporaji wa raslimali za madini ya dhahabu Mwanza , Geita na Mara. Aliwatetea bila kuwatoza hata sent na wakaachiwa huru, wapo waliobambikwa kesi wafungwe miaka 30 eti kisa tu wamepinga kuporwa maeneo yao.
 
Raisi wa wanyonge ni nani kati ya Lisu na hao wengine wanajiita maraisi wa wanyonge ndomoni
 
Raisi wa wanyonge ni nani kati ya Lisu na hao wengine wanajiita maraisi wa wanyonge ndomoni
Yule anaetanguliza maslai ya wengine kwanza kabla yake na asiyetegemea camera ili akamilishwe
 
Lisu alikuwa zamani!

Baada ya wazungu wa migodi kumramba ndio akageuka msaliti wa nchi.
 
Hebu nichukue kamusi langu niwatafsirie UVCCM, maana washaanza kuchangia vitu tofauti na mada iliyowekwa mezani
 
Mmoja kati ya wapumbavu wachache mliobakia katika nchi hii.
 
Kuna vilaza wa Lumumba, watoto wa juzi utasikia kaifanyia nini Tanzania?!
Kweni kafanya nini Lisu? Ninyi mnadhani kila anayeweza kucomment humu ni mwanasiasa au mpenzi wa chama fulani? Lisu ni muhuni tu anayetafuta pesa kupitia ujinga wa watu wachache wenye sauti kwenye koo ya kupiga makelele ovyo ovyo bila kutumia hekima na kuchanganua mambo
 
[SUP][/SUP] [SUP][/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Umesema jambo moja limenigusa sana...[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]"....angeungana na Magufuli kupigania alichokuwa anakipigania...."[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Ni wazi sasa kuwa akili yako wewe Crimea inaanza kuzalisha fikra sahihi na zenye tija...[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Tukiweza kulijadili hili positively kila mmoja akiwa "very calm" huku akiruhusu akili yake kufanya kazi sawasawa, tutafika tunapotaka kwenda tukiwa wamoja na maendeleo tuyatakayo tutayapata....[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]TWENDE KWENYE HOJA;[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Una tatizo moja la "misconception". Unakosa kabisa kuipata mantiki ya hoja ya Tundu Lissu ya kusema;[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP] "..... tuki mess up, tutashitakiwa..." [/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Hii ni kauli ya tahadhari, ina nia njema ya kuitakia Tanzania mafanikio. Tahadhari yenyewe ilikuwa ni hii;[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Kwamba, tunapaswa kukabiliana na wawekezaji hawa kwa utulivu na tukiwa na maarifa kwa sababu sisi wenyewe tukiwa nchi, tuliingia mikataba ya kisheria na wawekezaji hawa tena mikataba inayolindwa na sheria za uwekezaji wa mitaji za kimataifa.....[/SUP]
[SUP][/SUP]
[SUP]Kuwaingilia na kutaka kuwavuruga pasipo kutumia maarifa na utaratibu unaokubalika kisheria, mwisho wa siku ni lazima sheria za kimataifa zitaibana nchi yetu. Huku ndiko kushitakiwa alikomaanisha Tundu Lissu...[/SUP]
[SUP][/SUP]

Mpaka hapo unaweza kuona kabisa Tundu Lissu hana tatizo. Tatizo liko kwa serikali anayoongoza Magufuli na CCM kwa ujumla...

Rais angekuwa na NIA NJEMA YA KUFANYA KAZI HII NA WATU AINA YA TUNDU LISSU angeweza kukaa nao na kufanya kazi nao....

Lakini bahati mbaya sana kuwa, nia hiyo hana. Huyu hana tofauti na waliomtangulia. Wanadhani wanajua na wengine hawajui...

Kwa hiyo, Magufuli naye yupo hapo kuutetetea mfumo alioukuta na kuushiriki kuujenga...

Magufuli angekuwa na nia njema, angemlinda Tundu Lissu na siyo kumweka ktk mazingira magumu kama anavyofanya sasa na hata kutaka kumuua mara kwa Mara...
 
Haya sasa
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hujaelewa! Lisu mwanzo kabisa alikuwa na hoja na alikuwa mzalendo ila Magufuli alipoingia na kuanza kushughulika na mambo aliyokuwa anayapigania Lisu siku za nyuma, yeye Lisu aligeuka mbogo na kama unakumbuka mpaka aliita ile ripoti ya kamati ya kina Kabudi kuwa ni professional rubbish!

Sijui hoja ya Lisu kufanya vile ilikuwa ni nini ila kwa kutazama wale wezi wa madini walikuwa wameshamshape Lisu na kuwa upande wao maana Lisu ilifikia wakati akawa anawatetea wazungu waziwazi kabisa na kuanza kumkejeli rais Magufuli!

Magufuli huenda hajapata kile alichotamani nchi ipate kutokana na kubanwa na hiyo mikataba lakini angalau badala ya kupata 1 sasa tunapata 2.

Lakini katika hizo juhudi za kupata hiyo 2 anatokea mtu kama Lisu na kuanza kufoka kwamba Magufuli analiingiza taifa matatizoni tena kwa kejeli, unafikiri wale wazungu wanapata picha gani?

Ilifika hatua Lisu anapewa document na wazungu ili awasemee, na ushahidi wa hilo ulitolewa siku ile ya ile ripoti inatolewa na ndio Lisu alipopata hasira na kuita ile ripoti ni professional rubbish!

Usifikiri wazungu wanawatumia watu mbugila mbugila! Hapana! Wanatumia watu wenye akili na ushawishi kama hawa kina Lisu ili kuendelea kuinyonya nchi.

Sijui Lisu anapoongelea habari ya mikataba alikuwa anatakaje? Kwamba kwa vile tuna mikataba nao tuache tuendelee kunyonywa? Kama kuna uwezekano wa kulipa bilion 5 uvunje mkataba ili uokoe bilion 10 kwanini usivunje?

Haya sasa hao wazungu wametushtaki?
 
Hiyo ndio roho ya mrundi mmoja hv anajiita jiwe au kichaa na sio mzalendo na mtetezi wa kweli wa watanzania na binadamu wote TUNDU LISSU ccm mwaka huu mtajibeba HAKUNA ujinga wowote mtafanya sisi wananchi tukawaangalia tu TUTAWAGAWANA NA HAMTOKAA MUAMINI MWAKA HUU
 
Acha ujinga wewe! Siheshimu mamlaka za Majizi, Mafisadi, Dhalimu, Waongo, Watekaji, Watesaji, wanaodharau katiba, raia, bunge na mahakama na pia WAUAJI hiyo nakuachia wewe Dr ZWAZWA.
Haya endeleeni na upuuzi huo wa waliowatuma. Mtajuta nyote, nchi yetu si ya kuchezewa chezewa. Ni imara chini ya jasiri JPM.

 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…