Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

He is a business man.
 
Anasaidia mabeberu kukwapua rasilimali za nchi yetu kuzipeleka kuendeleza viwanda na ajira za nchi zao. Yeye Tundu analipwa na mabeberu hao kwa kuwezesha neocolonism hiyo. It is not as simple as your mind thinks.
Anasaidia mabeberu kukwapua rasilimali za nchi yetu kuzipeleka kuendeleza viwanda na ajira za nchi zao. Yeye Tundu analipwa na mabeberu hao kwa kuwezesha neocolonism hiyo. It is not as simple as your mind thinks.
CCM IKO MADARAKANI MPAKA SASA KWASABABU MABEBERU WANACHUKUA RASILIMALI ZETU KIULAINI kiufupi imewekwa na mabeberu ila mwaka huu upepo ni tofauti mabeberu wamemua kumuunga mkono LISSU sasa maccm roho ZINAWAUMA (MARAISI WOTE AFRIKA WANAWEKWA NA MABEBERU )
 
Acheni kudanganya! Machinery gani kama mkuu wa nchi alikuwa akitetea wawekezaji???!!!!
 
Lisu angekuwa serious angeungana na Magufuli kupigania alichokuwa analipigania kwa muda wa hiyo miaka 30
Lakini yeye aligeuka akawa upande wa hao wezi huku akisema tutashitakiwa.
Wote wawili hapa mnakiri kuwa kwa miaka hiyo Lissu alikuwa mzalendo (kwa maneno yenu wenyewe) naamini hii inatokana na evidence iliyopo (kwa mfano bandiko la BAK). Crimea anasema "Lakini yeye aligeuka akawa upande wa hao wezi huku akisema tutashitakiwa". Ni kweli kasema tutashitakiwa lakini hakusema tusiwakabili na kwa experience yake alitoa ushauri nini kifanyike ambacho kilikuwa tofauti na kile serikali ilitaka kufanya. Sasa hapo kageukaje kuwa upande wa hao wezi? Na je amefaidikaje na hilo kutoka kwa hao wezi?
Dr. Akili kaandika "Miaka ya 2000s mabeberu hao wakamununua kwa pesa nyingi". Mkuu toa evidence ya hili, tuachane na hisia ambazo zina malengo ya kisiasa ili wale wasiojua ukweli waamini kuwa Lissu si mzalendo bali msaliti. (Kuna mtu baada ya kumlabel Lissu msaliti akasema "wasaliti hawawezi kusurvive". Kilichofuatia wote twakijua".
 
Mwamba Tangia 2002 anawapigania wanyonge.
 
Reactions: BAK
Toa upuuzi wako Dr ZWAZWA. Jibu kuhusu kauli ya yesu wa lugola kwamba beberus wametupora gesi uweke na ushahidi hapa pia jibu kauli ya polepole kuhusu kuzuia kuwataja majizi ndani ya ccm. Vinginevyo kaa kimya UZWAZWA wako huko huko kwa MAZWAZWA wenzio.


Haya endeleeni na upuuzi huo wa waliowatuma. Mtajuta nyote, nchi yetu si ya kuchezewa chezewa. Ni imara chini ya jasiri JPM.

 
Hebu tuondolee huyo taahira mlamba viatu.


Haya endeleeni na upuuzi huo wa waliowatuma. Mtajuta nyote, nchi yetu si ya kuchezewa chezewa. Ni imara chini ya jasiri JPM.

 
Tena maigizo ya hali ya juu! Eti MABEBERU wametupora gesi yetu anadhani Watanzania wote ni wapumbavu tuukubali uongo wake.

Yeye alikuwa wapi takati hiyo gesi inaporwa? Angekuwa mzalendo wa kweli si angempigia kelele mkwere kwenye cabinet na hata sasa wakati amepata URAIS mbona ameufyata hajamkabili Kikwete juu ya uporaji huo wa gesi? JIWE anafanya maigizo tu!
 
Kila mtu hapa anatoa maoni yake kulingana na anavyoona yeye! Hili jukwaa si la babaako kwamba kila anaetoa maoni lazima yakupendeze wewe!

Ni jukwaa huru hili tunajdili kidemocrasia siyo kichadema.
Serikali ya CCM imesheheni WAHUNI na WAHALIFU lukuki, kuanzia JPM hadi wasaidizi wake. Ma Dikteta ni WASHENZI na WENDAWAZIMU hasa wanaposhindwa kwa hoja, tutarajie viroja vingi sana mwaka huu.
 
Serikali ya CCM imesheheni WAHUNI na WAHALIFU lukuki, kuanzia JPM hadi wasaidizi wake. Ma Dikteta ni WASHENZI na WENDAWAZIMU hasa wanaposhindwa kwa hoja, tutarajie viroja vingi sana mwaka huu.
Lisu hapati urais hutaki kunywa sumu ufe!
 

Yes , TL was very vocal about mining industry in Tanzania, and how corruption had made the country losing millions from it.
JPM came and started addressing the situation. Instead of working to support JPM and the government, he turned to the same people he was attacking for assistance. He wanted so badly to see the government losing against Acacia.
Is that how we pursue our agendas in this world?
TL Anafa kuwa alipokuwa,lakini sio kuwa Rais
 
Stop your lies. So who is stopping chakubanga to name majizi MAKUBWA inside maccm!?

Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

 
Hata hao MIGA kumbe walimkana!! Huyu msaliti huyu ni shida!
 
That is true boss! TL is unfit to be the president of this country thus why even now his family is not in the country but in Belgin.
 
Kuna kale kadua kanakosema"Mungu mpunguzie adhabu za kaburi"kuna mtu anatoka jasho alafu alivyo mbonge chacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…