Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

"Mwalimu Nyerere aliongoza kijanjakijanja" By Mzalendo Tundu Lissu πŸ˜€
Ni kweli kabisa..Labda wewe unamsikia tu Nyerere..watu walikuwa wanaiba mali za umma wala hana habari nao yeye anaangaika na wapinzani wake wa kisiasa wakina Jumbe nk..Sokoine kujaribu kuwafanyizia wahujumu uchumi akawahishwa kuzimu..Umasikini wa Tanzania sio wa kutoka kwa Mungu-TAL
 
Kwa utafiti upi ulioufanya? Uliufanya lini na wapi? Kama huo ndiyo ukweli kwanini maccm yaogope tume huru, uwazi kwenye kupiga na kuhesabu kura na kura zihesabiwe hadharani hivyo kuihakikishia dunia kwamba hata kwenye uchaguzi HURU na wa HAKI maccm ni KIDEDEA Tanzania tena kwa ushindi wa TSUNAMI!? 😳😳😳

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

TL hawezi kuwa Rais. Time will tell. Anaweza kuwa upinzani mzuri
 
Lisu hapati urais hutaki kunywa sumu ufe!

Ujinga wenu mnafikiri nyinyi nchi yenu ni tofauti na nchi nyingine!!! Umesikia nini kinaendelea huko Mali na Ivory Coast? Mtakinukisha mwaka huu.
 
Duh, wewe kweli ni turnkey

 
Wewe ni mpumbavu kweli. labda tukuulize wakati hii miswada ya kipumbav ya madini inasainiwa huyo MAGUFULI alikuwa wapi?
Lisu aungane na MAGUFULI KWA LIPI?
Acha tukuambie alichokuwa anamwambia MAGUFULI ni msimamo wake ambao alikuwa nao tangu wewe hujaja mjini
yaani madini muyauze wenyewe afu leo ati mnajidai mna uchungu nayo?
kwahiyo alipigwa risasi kwa sababu hajaungana na magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…