KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Huyu mdada ni mmoja kati ya mabinti wanaojua kuitumia keyboard kwa kasi na ujuzi wa aina yake. Kuna mambo anayapatia na kuna mengine anahemka sana. Hana simile. Hana haya wala hajui vibaya. Mdada huyu anasifika kwa kushusha vichambo vya nguvu kwa yeyote anayeingia kwenye anga zake.