Man Thom
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 732
- 905
It is not easy to find someone who can meet her standards, sababu ni mwanamke jasiri na msomi anayejua haki zake za msingi na wanawake wa kisasa walivyo. Mange obviously anajua anachokifanya na yupo tayari kutetea kwa gharama yeyote kile anachokiamini! Kuishi ughaibuni pia kumechaingia kuimarisha reputation yake...Huyo ndiye Mange ninayemfahamu.Kwa sasa hata kwa sisi tusioingia huko Instagram tunajua kwamba Mange kimambi ndiyo mtanzania maarufu sana kuliko wote wanaotumia Instagram. Lakini kwa kumwelezea kuna watu wanamuona kama ni mtu mbaya sana asiyejielewa na mpenda sifa kijinga wakati wengine wanamuona ni Jasiri asiye na woga wala upendeleo na anakisema kitu kwa jinsi anavyokiona na kuamini kwamba kipo hivyo.
Je wewe unamuonaje Mange Kimambi na unaweza kumwelezea vipi?