Amevurugwa tu..Huyu mdada ni mmoja kati ya mabinti wanaojua kuitumia keyboard kwa kasi na ujuzi wa aina yake. Kuna mambo anayapatia na kuna mengine anahemka sana. Hana simile. Hana haya wala hajui vibaya. Mdada huyu anasifika kwa kushusha vichambo vya nguvu kwa yeyote anayeingia kwenye anga zake.
Ni mfukunyuku sana. Kabla ya kushusha madongo anajitahidi kuzitafuta taarifa za mtu kwa udi na uvumba. Unajua hizi social media zinatoa fursa ya kujua marafiki wanaohusiana. Sio marafiki zako wote wanakupenda kuna wengine ni wepesi wa kuvujisha mabaya yako, akimpata mbaya wako umekwisha. Atavujisha mabaya yako na wenyewe wanaita 'ubuyu', hapo ndipo utamfahamu Mange ni nani.Mkuu nasikia kila anayeshindana naye zinabandikwa picha zake za tangu akiwa shuleni. Lakini yeye anazipataje habari za kiundani za watu wengi wa Tanzania kama vile aliishi na kila mbaya wake mtaa mmoja?
Kwani bado hajawa maarufu tu?Ni mwanamke ambae anatafuta umaarufu kwa lazima
Taratibu kuna wakati anawafurahisha wabaya wake na kuna wakati anawakasirisha. Huwa hatabirikiAmevurugwa tu..
Kwa ivo kumbe yupo "fair" kama hana upande!?Taratibu kuna wakati anawafurahisha wabaya wake na kuna wakati anawakasirisha. Huwa hatabiriki
Bado ndo anaelekea kuwa..ila inabidi aongeze bidiiKwani bado hajawa maarufu tu?
Mkuu nasikia kila anayeshindana naye zinabandikwa picha zake za tangu akiwa shuleni. Lakini yeye anazipataje habari za kiundani za watu wengi wa Tanzania kama vile aliishi na kila mbaya wake mtaa mmoja?
Kuna kipindi aliikumbatia CCM, alivyowageuka ikawa balaa. Hatabiriki na hana urafiki wa kudumuKwa ivo kumbe yupo "fair" kama hana upande!?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Huu uzi upo kimtego, hivyo changieni kimtego pia.