Huyu Ndiye Mange Kimambi ambaye uzushi wake unaungwa mkono na Kiongozi Mkuu Wa Chama. Ni aibu!

Status
Not open for further replies.
It is not easy to find someone who can meet her standards, sababu ni mwanamke jasiri na msomi anayejua haki zake za msingi na wanawake wa kisasa walivyo. Mange obviously anajua anachokifanya na yupo tayari kutetea kwa gharama yeyote kile anachokiamini! Kuishi ughaibuni pia kumechaingia kuimarisha reputation yake...Huyo ndiye Mange ninayemfahamu.
 
yaani natamani siku moja afahamu majina halisi ya Lizaboni, pohamba , Ritz , lupyee , motichini , simiyu yetu bila kumsahau Juliana shonza , yaani awachambe hadi wakimbie humu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…