Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
basi ye boya ina maana jogoo wake hapandi mtungi,ama kweli
Unapanda lakini lakin hapend kusugua anapenda kusuguliwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi ye boya ina maana jogoo wake hapandi mtungi,ama kweli
Bora ben, kuna moja alitoaga aunty ezekiel,walahi huwez kuangalia maana utachek had bhas, hzo swaga sasa dah nilichoka had mwenyew nikaona aibu
Mmh ben na yeye kakonda nilimuona kweny msiba wa adam khaa,mai nae ---- sijui limeenda wapi,wema akyanani nilimuona bila make up aiseeh nusuvnimkimbie na lile komwe mmh
Hahhhhaaa kwa hiyo Wema Make up inamsaidiaa kidogo ushike viatu ukimbie"""!
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn

Ulijionea vitukoo huko vipi dengu ishakamata wangapiiii
Niliomuona mama abdul, yaani yule mama ni mmbea hatar, yan alivyokuwa addicted na umbea hata mavaz yake hajali, anavaa ovyo, alikuwa anajipitisha pitisha ,sijui alitaka atangazwe na yeye
Naona ujumbe kwa ma mods wanasema nimetukana matusi kwenye thread zangu mwenyewe, sasa kama wananichokoza nafanyeje??, wengine mambo ya ku report hatuyawez, ngoma had kieleweke ,maana kuna watu wanataka sifa sana humu
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn
Una shida gan mkuu tedo