Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpozi?

Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpozi?

Jamani niliona yule ben kinyaiya katoa nyimboo lol bora atangaze tu haki ya mama angu

Bora ben, kuna moja alitoaga aunty ezekiel,walahi huwez kuangalia maana utachek had bhas, hzo swaga sasa dah nilichoka had mwenyew nikaona aibu
 
Yaan wangeachaa tu afadhali hata Masanja mkandamizajiii
 
Mmh ben na yeye kakonda nilimuona kweny msiba wa adam khaa,mai nae ---- sijui limeenda wapi,wema akyanani nilimuona bila make up aiseeh nusuvnimkimbie na lile komwe mmh
 
Hahhhhaaa kwa hiyo Wema Make up inamsaidiaa kidogo ushike viatu ukimbie"""!
 
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn
 
Hivi wewe ndo warumi...? Naomba kuuliza..Just curious
 
Last edited by a moderator:
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn

Ulijionea vitukoo huko vipi dengu ishakamata wangapiiii
 
Niliomuona mama abdul, yaani yule mama ni mmbea hatar, yan alivyokuwa addicted na umbea hata mavaz yake hajali, anavaa ovyo, alikuwa anajipitisha pitisha ,sijui alitaka atangazwe na yeye
 
Ni mbeaa huyoooi anajua kuchambaaaa hatareeeee
 
Hongera binamuuuuuuuu

Naona ujumbe kwa ma mods wanasema nimetukana matusi kwenye thread zangu mwenyewe, sasa kama wananichokoza nafanyeje??, wengine mambo ya ku report hatuyawez, ngoma had kieleweke ,maana kuna watu wanataka sifa sana humu
 
Kwa post hii ndo warumi mwenyewe pasi na shaka...

Nime-connect dots..
 
Last edited by a moderator:
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn

hahahahaaa...
 
Huo mdomo VIP?

Na dai nae anaubetua siku hizi!
Khaaaaa
AF nao kweny vitambulisho vya Uraia wamekuwa labelled ME!.
Tufiiiiiiikwa
 
Nikajiuliza huyu ndo wema yule anaeabudiwa insta na wale misukule au mwingine?? Alikuwa kawaida sana ingawa bado ana mvuto wa asili, ila walikuwa wanajitenga na kahaba mwenzie aunty kila sehem wapo wote, kuna mahal eti mpambe mmoja ivi akazuia gar lisipite eti wakina wema wanapita , wacha ale vichambo na matus ya nguon, raia washachoka, uo upuuz wakasema akafanyie ig , dah watu bwana, sasa ig atafany nn

Ha ha ha ha Warumi
 
Back
Top Bottom