Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Ahahahahah.Acha uongo basi.Katika maisha yangu yote sijawah ona gar za goms zinagombaniwa pale rangi 3.labda za kawe na makumbusho.Nilipisana naye mwaka mpya mbagala rangitatu akigombania magari ya g/mboto
Bado sijaona kama Lara 1. She was really a thing!. Ziendelee kudumu fikra zake.
Na CreditAnalyst pia
Ana chura?
Ana chura?
Usitukumbushe movie la Bure mkuuDemis nae haonekani, au ndio kashapata ubatizo mpya ๐
Nitumieni ilo connection jamaa, sijui hata nilikuwa wapi aiseeUsitukumbushe movie la Bure mkuu