Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Dada emmyta yumo sana JF, tena anachangia kama kawaida, ila kiukweli ni moja kati ya mdada nimpendae ndani na nje ya JF, ni mstaarabu haswa, haboi wala hana mambo ya kijinga.
Popote ulipo dada emmyta, BIG UP SANA
 
Nini maana ya Ustaarabu? Coz kila jamii,kila taifa na kila familia hua zina ustaarabu wake na kila mmoja huona ustaarabu wake ni bora zaidi kuliko ustaarabu wa mwingine.
Ni kweli neno ustaarabu sio universal, wengine kuruhusu ndoa za jinsia moja ndio ustaarabu!
 
Back
Top Bottom