Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteee.muda wa msosi huu karibu.Nafurahi kuona upo ukiwa na afya tele.
Mimi ni yuleyule sijabadilika tangu 22 November 2010
We mama🤣🤣🤣Mwache mkeo atamuoa
Sasa ningesemaje NarcoticWe mama🤣🤣🤣
Sijaoa lakini siwezi kumuacha mtu kwa ajili ya mtu mwingine...Sasa ningesemaje Narcotic
Hata ex tuu unampasia😅😅😅 Sio single wote wanataka kuolewa☺☺Sijaoa lakini siwezi kumuacha mtu kwa ajili ya mtu mwingine...
Nilisuggest singo maza kwa sababu kwa takwimu ndo wenye nyama nyingi
Sijui tuko wangapi wa aina,Hata ex tuu unampasia😅😅😅 Sio single wote wanataka kuolewa☺☺
Kujali, heshima, nidhamu, kusamehe, nk vyote kwa pamoja vinaunda ustaarabuNini maana ya Ustaarabu? Coz kila jamii,kila taifa na kila familia hua zina ustaarabu wake na kila mmoja huona ustaarabu wake ni bora zaidi kuliko ustaarabu wa mwingine.
😀 😀 😀 😀Na CreditAnalyst pia
Itondo ☺️☺️☺️Kinachekesha na kuhuzunisha. Ana viwanda vya threads huyu balaa. Hadhafu ni itoondoo.
Ila huyu kazidi mweehIfikee mahali jf founders wawalipe waanzisha threads maarufu. Could be a source of income for some...
[emoji23][emoji23][emoji23]Itondo [emoji3526][emoji3526][emoji3526]