Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Sijaoa lakini siwezi kumuacha mtu kwa ajili ya mtu mwingine...
Nilisuggest singo maza kwa sababu kwa takwimu ndo wenye nyama nyingi
Hata ex tuu unampasia😅😅😅 Sio single wote wanataka kuolewa☺☺
 
Kwakua una interest naye ndio maana unamuona hivo. But there's a bunch of smart, beautiful,and kind woman in this Forum
Kwa upande wangu nilimuona yeye ndo mstaarabu japokuwa najua wapo wengine wengi
 
Tambua kwamba uliyemtaja hapo juu ni mama yako mdogo. Hivyo naomba umuoneshe heshima zote huyo mama yako. Natumai tumeelwana kijana wangu.
Suala nalotaka kujua ni yupo wapi huyu mdada niliyetokea kupenda attitude yake
 
Nini maana ya Ustaarabu? Coz kila jamii,kila taifa na kila familia hua zina ustaarabu wake na kila mmoja huona ustaarabu wake ni bora zaidi kuliko ustaarabu wa mwingine.
Kujali, heshima, nidhamu, kusamehe, nk vyote kwa pamoja vinaunda ustaarabu
 
Back
Top Bottom