Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Kwakua una interest naye ndio maana unamuona hivo. But there's a bunch of smart, beautiful,and kind woman in this Forum
Nini maana ya Ustaarabu? Coz kila jamii,kila taifa na kila familia hua zina ustaarabu wake na kila mmoja huona ustaarabu wake ni bora zaidi kuliko ustaarabu wa mwingine.
noted!! Well said.... i couldn't agree more
 
Kulikuwaga na mdada mmoja kwa ID ya emmyta ( kwa sasa hayupo kabisa haonekani na hata id yake haipo kabisa tena humu jf) nadiriki kusema alikuwa mdada aliyekuwaga na busara ya hali ya juu sana kwenye hii platform.

Hakuwahi kuwa na hasira kipindi chake chote humu na hakuwahi kumjibu mtu utumbo katika kila comment aliyoandikaga, alikuwa mpole sana na nakumbuka siku moja kuna mtu alitoa comment ya ovyo kwa huyu dada niliumia na nilimfata PM huyo mtu nikamtusi kinoma na kumuonya asirudie tena kutaka kumkorofisha huyo dada

Huyu emmyta inavoonesha anaweza kuishi na kila mtu katika jamii hii na kama ana familia basi familia yake itakuwa anawalea katika maadili mazuri.

Hivyo basi yeyote anayejua huyu dada alipo ningependa anijulishe dhumuni langu nataka nimtoe out kidogo hata sehemu tupate chakula cha mchana, najua alikuwaga na marafiki humu na kuna ambao either wanajua alipo naomba afikishiwe ujumbe
ASANTENI
Wewe Fala unataka umtoe out mke wangu wa ndoa!
 
Back
Top Bottom