Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Bahati mbaya mzee niliipigia nyeto ikapotea .Nitumieni ilo connection jamaa, sijui hata nilikuwa wapi aisee
Ila ulikuwa wapi wewe aseeh halafu ile nyingine ya yule mama paleee
Nomaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya mzee niliipigia nyeto ikapotea .Nitumieni ilo connection jamaa, sijui hata nilikuwa wapi aisee
Habari Mr salum kidoletumbo?😂😂😂😂😂nikituma nini!?
Habari Mr salum kidoletumbo?
Wewe jamaa namba gani mzee?Acha kurukia rukia watu usiowajua humu!!! Nani aliyekudanganya hilo ni jina langu? 😳😳😳
mm sitaki ustarabuChura ya nini wewe ustaarabu wa mwanamke ndo kitu kitu adimu na cha kipekee kwenye dunia ya leo
Aisee! Me ndo Kwanza nipo chekechea.Mimi ni yuleyule sijabadilika tangu 22 November 2010
Mzee unashindwa hata kuchunguza mwandiko. Yupo humu na ID mpyaKahama JF lakini
Marahaba son😍Aisee! Me ndo Kwanza nipo chekechea.
Shikamoo
Hata mimi sijui😃😃😃Mama D huyu emmyta yupo wapi
Mimi huyu simjuwi ila binafsi nina mmiss Paloma tuKulikuwaga na mdada mmoja kwa ID ya emmyta ( kwa sasa hayupo kabisa haonekani na hata id yake haipo kabisa tena humu jf) nadiriki kusema alikuwa mdada aliyekuwaga na busara ya hali ya juu sana kwenye hii platform.
Hakuwahi kuwa na hasira kipindi chake chote humu na hakuwahi kumjibu mtu utumbo katika kila comment aliyoandikaga, alikuwa mpole sana na nakumbuka siku moja kuna mtu alitoa comment ya ovyo kwa huyu dada niliumia na nilimfata PM huyo mtu nikamtusi kinoma na kumuonya asirudie tena kutaka kumkorofisha huyo dada
Huyu emmyta inavoonesha anaweza kuishi na kila mtu katika jamii hii na kama ana familia basi familia yake itakuwa anawalea katika maadili mazuri.
Hivyo basi yeyote anayejua huyu dada alipo ningependa anijulishe dhumuni langu nataka nimtoe out kidogo hata sehemu tupate chakula cha mchana, najua alikuwaga na marafiki humu na kuna ambao either wanajua alipo naomba afikishiwe ujumbe
ASANTENI
Mmoja wapo mimi....😎😎😎Kwakua una interest naye ndio maana unamuona hivo. But there's a bunch of smart, beautiful,and kind woman in this Forum
Njoo nyuma ya keyboard utaniona...Nitajuaje sasa sijawahi kukuona 😆