mmh mimi huyu kabisa!Kwani tumemalizana kule.
Si umekimbia
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]napokea kwa unyenyekevu mkuu..asante sanaMshana jr wewe ni mtu wa aina yake sana, wewe ni miongoni mwa wanaotajwa kwa mema na dhihaka, lkn umeonyesha ukomavu mkubwa wa kiakili.
Nakupongeza kwa moyo huo bro.
Nakupongeza si kwa sababu u bora kuliko wote bali kwa uwezo wako wa ku handle yote kwa subira, hekima na uvumilivu...hongera sana kwani najua yapo yanakugusa na kuumia lkn umekuwa na kifua kipana cha kuhili lkn pia umejaribu kuepuka kulewa safi pale unaposifiwa sana pia kwa hilo nakupongeza sana sana
[emoji23][emoji23][emoji23]mshana jr duuuh hapa kweli ulipoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bingwa wa matunguli TZ nzima atakuwa anawaishwa hospitali sasa hivi..
unastahili sana mkuu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]napokea kwa unyenyekevu mkuu..asante sana
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]unastahili sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambiele Kiviele BET LOST
Tena ile bahari wana israel walivushwaKaoge maji ya bahari
AiseeNilishawahi kumuota asubuhi nikachafua kyupi
SizaniMange
Kumbe na wwe unanasaga ehNdiooo