Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

Wale wenye ID inayoanza na M na inaishia na E.ninaomba mzingatie kauli mbiu za mitandao hii
Kazi ni kwako (voda)
Express yourself (tigo)
 
Cjui nibadirishe id madindingwa mie sometime haha majina mabaya hua yanatukostiiii
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji180]
Mshana jr wewe ni mtu wa aina yake sana, wewe ni miongoni mwa wanaotajwa kwa mema na dhihaka, lkn umeonyesha ukomavu mkubwa wa kiakili.
Nakupongeza kwa moyo huo bro.
Nakupongeza si kwa sababu u bora kuliko wote bali kwa uwezo wako wa ku handle yote kwa subira, hekima na uvumilivu...hongera sana kwani najua yapo yanakugusa na kuumia lkn umekuwa na kifua kipana cha kuhili lkn pia umejaribu kuepuka kulewa safi pale unaposifiwa sana pia kwa hilo nakupongeza sana sana
 
Demiss tafadhari bado tuna mhitaji mganga wetu hapa jamvini angalia asije kimbia
 
Mshana jr wewe ni mtu wa aina yake sana, wewe ni miongoni mwa wanaotajwa kwa mema na dhihaka, lkn umeonyesha ukomavu mkubwa wa kiakili.
Nakupongeza kwa moyo huo bro.
Nakupongeza si kwa sababu u bora kuliko wote bali kwa uwezo wako wa ku handle yote kwa subira, hekima na uvumilivu...hongera sana kwani najua yapo yanakugusa na kuumia lkn umekuwa na kifua kipana cha kuhili lkn pia umejaribu kuepuka kulewa safi pale unaposifiwa sana pia kwa hilo nakupongeza sana sana
Nawe tafuta wako
 
Haya wenye I'd inayoanza na M kuishia E mjikusanye mje huku...kuna Uzi wenu
 
Back
Top Bottom