Hivi unajua hiyo pesa unayoizungumzia wewe Mengi achange hela zake na MODEWJI,AZAM BAKHRESA,MANJI Bado hazifiki 5.6bill$?![emoji15][emoji15]Laki 1 x 10 =1m x 1,000 = 1bilioni x 1,000 = 1 trilioni, kwahiyo husidhani jamaa ni wadunia hii.
Anaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania, vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa mpaka ulaya. Historia yake ya muziki ilianzia miaka 1998
-Pesa yake ya kwanza kurekodi ngoma studio alipewa na mama yake Tshs 20000/=
-Ni mkulima (ana mashamba ya mpunga zaidi ya heka 100 huko ifakara Morogoro
-Ni mjasiriamali mwenye biashara nyingi ikiwemo duka la nguo
-Ni mmiliki wa vipindi vya TV vya MKASI na NGAZI KWA NGAZI vinavyorushwa EAST AFRICA TV
-Anamiliki kampuni ya UNITY ENTERTAINMENT inayojihusisha na uwakala wa kazi za sanaa, matangazo na kuunganisha wasanii, pia kuleta wasanii wa nje
CONCLUSION: HAYO NI MACHACHE KUHUSIANA NA SUPER LEGEND AY MZEE WA COMERCIAL
Hawa waliozaliwa miaka ya tisini hadi 2000's watakuelewa?Aisee hebu tazama msanii wa kwanza kuiwakilisha Tanzania kimataifa.
Sawa nimekuelewa upo sahahihi. Namaanisha nimekulewa wewe ni wa aina gani. Upo ktk 1:4 ya wale wa tafiti ya karibuni.Hivi nimesema 9.7 b$ ........ Hiyo nimekosea ni 29.7 b$.
Umejibu kwa kukurupuka ama ume fanya utafitiml10
Unahitaji kweli ushauri kumchukia mtu bila sababu huo mtaani tunauita uchawiAnamiliki kampuni ya Unity Entertainment...wakati in the same time nasikiwa kasaini na sijui na kampuni ya Babu Tale,or somebody else,ila kasaini kwa mtu tena recently tu...
Therefore kwenye medani ya biashara za ku-manage wasanii na biashara ya muziki kwa jumla hajafaulu...unaendaje kusainiwa kama msanii kampuni ya mwingine yako unamwachia nani?
Na pia,hizi taarifa za mali na mafanikio ya biashara kwa wasanii hua siamini takwimu,kiasili wasanii wote wanakuza vitu mara tatu zaidi ya ukweli just kujenga taswira ya showbiz,nothing more.
Hizo takwimu mi zitakua halisi kwangu kama nikizichukua na kugawanya kwa 3....
Na pia niweke wazi mrengo wangu,AY na MwanaFA nawachukia tu,sijui kwanini,I can not stand these guys...mi sio mnafiki,I hate these ni.ggaz for the sake of it....unajua kuna watu tu hua unawachukia bila sababu,basi kwangu mimi ni hawa jamaa,...basi tu,na sitaki ushauri [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Habari za kuaminika ni kuwa,kumbe sio 5.6 b$, ila ni 9.7 b$ kuna mtu wake wa karibu kaniambia hapa.
Mkuu huu anaofanya huyu dogo ni utoto ambao haustahili mahala hapa. Haya wanafanya watoto ktk majukwaa yao huko facebook na kwingineko walikojaa wapuuzi. Naona JF imevamiwa siku hizi.Samsun unawatoa mapovu maGT wa JF
Na hizo $Billions sijui Trilion hawataki utani
Jero ya voucherAccount yake inasoma ngap mkuu
MO ana 1.9$ billion sijui umeandika niniNi kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
hahahaaaaa🙂 🙂 punguza kidogo mkuu, weka hata Kenyan shillings kidogo tuamini
we nae unakurupuka. Hivi unaijua $ vizuri?Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Wewe unaota nnahisi!!!? Utajiri as Mengi, Bakhresa na Dewji na Rostam wote kwa pa1 haufiki pesa hiyoNi kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
kwa hiyo unanilazimisha mie mtoto wa kiume nimchukie Mwanaume mwezangu bila sababu yoyote kisa binadamu tumeumbwa na chuki?!Mnafiki mkubwa,na unafiki ndio tabia ya kike kama hujui.
Binadamu wote tumeumbwa na chuki innately ya vitu au hali mbalimbali,kwahiyo kwa hoja yako the entire humanity ni wanawake?Chuki na hasira ndio imetawala zaidi ya upendo unajifaragua nao eti unao,this is hypocrisy of highest order.Na ujue unaongea na watu wazima hapa,huo uongo si mahali pake.
Acha unafiki and be a man for once.
Umeandikajehuyu jamaa ndiye aliyemfanyia connectio diamond platenum na ommy dimplez na wengne kibao ndio maana wanamtaja wakitoa shukrani
Acha uongo wewe Msukuma msukume arudi Mwanza.Habari za kuaminika ni kuwa,kumbe sio 5.6 b$, ila ni 9.7 b$ kuna mtu wake wa karibu kaniambia hapa.
hivi hela ya Zimbabwe mnaichukulia poa?5.6$ ya US au Zimbabwe?
Aisee hebu msikilize Mtoto wa Dandu, ni msanii wa kwanza kuiwakilisha Tanzania kimataifa. Level yake ndo Diamond anaifikia sasa hivi.
Cc: silasmasha