Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Laki 1 x 10 =1m x 1,000 = 1bilioni x 1,000 = 1 trilioni, kwahiyo husidhani jamaa ni wadunia hii.
Hivi unajua hiyo pesa unayoizungumzia wewe Mengi achange hela zake na MODEWJI,AZAM BAKHRESA,MANJI Bado hazifiki 5.6bill$?![emoji15][emoji15]
 
Anaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania, vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa mpaka ulaya. Historia yake ya muziki ilianzia miaka 1998

-Pesa yake ya kwanza kurekodi ngoma studio alipewa na mama yake Tshs 20000/=
-Ni mkulima (ana mashamba ya mpunga zaidi ya heka 100 huko ifakara Morogoro
-Ni mjasiriamali mwenye biashara nyingi ikiwemo duka la nguo
-Ni mmiliki wa vipindi vya TV vya MKASI na NGAZI KWA NGAZI vinavyorushwa EAST AFRICA TV

-Anamiliki kampuni ya UNITY ENTERTAINMENT inayojihusisha na uwakala wa kazi za sanaa, matangazo na kuunganisha wasanii, pia kuleta wasanii wa nje


CONCLUSION:
HAYO NI MACHACHE KUHUSIANA NA SUPER LEGEND AY MZEE WA COMERCIAL


No Research, no right to speak, unayajua mafanikio ww

Msaada wa bure kwako anayeongoza ni diamond platnum kwa mafanikio
 
Hivi nimesema 9.7 b$ ........ Hiyo nimekosea ni 29.7 b$.
Sawa nimekuelewa upo sahahihi. Namaanisha nimekulewa wewe ni wa aina gani. Upo ktk 1:4 ya wale wa tafiti ya karibuni.
 
Anamiliki kampuni ya Unity Entertainment...wakati in the same time nasikiwa kasaini na sijui na kampuni ya Babu Tale,or somebody else,ila kasaini kwa mtu tena recently tu...

Therefore kwenye medani ya biashara za ku-manage wasanii na biashara ya muziki kwa jumla hajafaulu...unaendaje kusainiwa kama msanii kampuni ya mwingine yako unamwachia nani?

Na pia,hizi taarifa za mali na mafanikio ya biashara kwa wasanii hua siamini takwimu,kiasili wasanii wote wanakuza vitu mara tatu zaidi ya ukweli just kujenga taswira ya showbiz,nothing more.

Hizo takwimu mi zitakua halisi kwangu kama nikizichukua na kugawanya kwa 3....

Na pia niweke wazi mrengo wangu,AY na MwanaFA nawachukia tu,sijui kwanini,I can not stand these guys...mi sio mnafiki,I hate these ni.ggaz for the sake of it....unajua kuna watu tu hua unawachukia bila sababu,basi kwangu mimi ni hawa jamaa,...basi tu,na sitaki ushauri [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Unahitaji kweli ushauri kumchukia mtu bila sababu huo mtaani tunauita uchawi
 
Habari za kuaminika ni kuwa,kumbe sio 5.6 b$, ila ni 9.7 b$ kuna mtu wake wa karibu kaniambia hapa.

Samsun unawatoa mapovu maGT wa JF
Na hizo $Billions sijui Trilion hawataki utani
 
Samsun unawatoa mapovu maGT wa JF
Na hizo $Billions sijui Trilion hawataki utani
Mkuu huu anaofanya huyu dogo ni utoto ambao haustahili mahala hapa. Haya wanafanya watoto ktk majukwaa yao huko facebook na kwingineko walikojaa wapuuzi. Naona JF imevamiwa siku hizi.
 
Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Wewe unaota nnahisi!!!? Utajiri as Mengi, Bakhresa na Dewji na Rostam wote kwa pa1 haufiki pesa hiyo
 
Mnafiki mkubwa,na unafiki ndio tabia ya kike kama hujui.

Binadamu wote tumeumbwa na chuki innately ya vitu au hali mbalimbali,kwahiyo kwa hoja yako the entire humanity ni wanawake?Chuki na hasira ndio imetawala zaidi ya upendo unajifaragua nao eti unao,this is hypocrisy of highest order.Na ujue unaongea na watu wazima hapa,huo uongo si mahali pake.

Acha unafiki and be a man for once.
kwa hiyo unanilazimisha mie mtoto wa kiume nimchukie Mwanaume mwezangu bila sababu yoyote kisa binadamu tumeumbwa na chuki?!

Nadhani wewe itakuwa ni mwanamke maana wanawake ndio wenye chuki za namna hii.Mwanamke anaweza kumchukia mtu tu kisa alimuona kwenye movie akimuwekea sumu yule actor kipenzi chake.

Hizo ni tabia za kike na sisi wanaume hatuwezi kuwa nazo umchukie dume mwenzio tena bila sababu yoyote!?

Wanaume tunachukiana tukinyimana deal na siku zote huwa tunaambiana ukweli na yanaisha kama akijatokea kitu.

Haya wewe mwezetu ni Jinsia gani?!
 
Habari za kuaminika ni kuwa,kumbe sio 5.6 b$, ila ni 9.7 b$ kuna mtu wake wa karibu kaniambia hapa.
Acha uongo wewe Msukuma msukume arudi Mwanza.

Huyo kaiwakilisha Tanzania au alikuwa Anafanya muziki nje ya Tanzania?

Huyo hata ukienda hapo Kenya hawamjui kama unabisha tuambie kabla ya kifo chake lini alifanya show japo hapo Mtwara na vipi aliwahi japo kuwepo kwenye Tuzo za kora maana ndio zilikuwa Tuzo kubwa kwa wakati ule.
 
Back
Top Bottom