Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Suala la kuwakilisha nchi kimataifa huwa nalitilia shaka sana. Napita tu mie.
 
Suala la kuwakilisha nchi kimataifa huwa nalitilia shaka sana. Napita tu mie.
Sasa mleta mada kamsifia bila ya UDHIBITISHO WA HIVYO ALIVYOVITAJA,wewe ukisema kinyume na hivo utaonekana unachuki nae,chakufanya na wewe unampamba zaidi.
 
Mkuu ingia Google tafuta top ten richest musician in East Africa, huyo jamaa yako hata top ten hayupo,cheki hii top four.
Jose chameleon
Diamond
Akothe
Jaguar
 
Mkuu ingia Google tafuta top ten richest musician in East Africa, huyo jamaa yako hata top ten hayupo,cheki hii top four.
Jose chameleon
Diamond
Akothe
Jaguar
hivi unadhani Tz matajiri ni mo na bakheresa tu?
 
$ ni alama ya nini labda maana inaonyesha huelewi unacho andika?
Muwe na tabia ya kufuatilia komenti zote za kwenye thread,mtakuwa mnanufaika na mengi sio umeona kitu tu unaanza kuuliza,hujui pengine hata wenzako wameshauliza hilo swali na kujibiwa........Soma KOMENTI no 124,ina majibu yote kwa nilichokiandika.
 
Kinyume cha Nakupenda ni Sikupendi na sio nakuchukia maana yangu unaweza usimpende mtu fulani sawa mimi mwenyewe kuna watu kibao siwapendi ila hiyo haijawahi kufanya niwachukie kwa sababu kumchukia mtu ni tabia za watoto wa kike wanaweza kumchukia wifi yao bila sababu yoyote.

Ndio maana nastuka kuona unamchukia jamaa tena bila sababu yoyote.

Tafadhali na wala sio kwa ubaya...Wewe Ni JINSIA GANI?

Binadamu tumejaa unafiki.

"Kumchukia" ni ya wanawake na "Simpendi" ni ya wanaume...haya madaraka ya kugawanya hizi tabia za wanadamu umetoa wapi?

Tabia zote hizo ni moja kwa ujazo tofauti,na ku-determine ujazo ni more subjective hamna mwenye uwezo wa ku-determine precisely.Tutaishia kuvutana hapa kuhusu hizi qualitative behaviour za wanyama.Tuache.

Nipe link ya research zilizo-determine beyond doubt eti kuchukia ni specific tabia ya "wanawake" na "kutopenda" ni tabia specific kwa wanaume na ni mutually exclusive.

Tuache hii topic nadhani hatutaweza elewana,kama sensible men,let's stop this respectfully.I have respect for u and what u believe in,we can find other topics in which we can discuss with respect for each other.Thanks.
 
Back
Top Bottom