Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

Hapana ajavurungwa hesabu za makum na mamia zilimpita.

Mo IBrahim (Mohamed ) huyu aliyetajwa na jarida la fobes kama tajiri namba moja TZ kwa mwaka 2016 ana utajiri wa
$ 1.1 b, mwanamuziki JAY Z ana $ 648 millioni, sasa hao kina AY, cjui WIZKID, Diamond na wengine jiulize wana utajiri wa kiasi gani kama Jay Z ndiyo yuko hapo.
 
Binadamu tumejaa unafiki.

"Kumchukia" ni ya wanawake na "Simpendi" ni ya wanaume...haya madaraka ya kugawanya hizi tabia za wanadamu umetoa wapi?

Tabia zote hizo ni moja kwa ujazo tofauti,na ku-determine ujazo ni more subjective hamna mwenye uwezo wa ku-determine precisely.Tutaishia kuvutana hapa kuhusu hizi qualitative behaviour za wanyama.Tuache.

Nipe link ya research zilizo-determine beyond doubt eti kuchukia ni specific tabia ya "wanawake" na "kutopenda" ni tabia specific kwa wanaume na ni mutually exclusive.

Tuache hii topic nadhani hatutaweza elewana,kama sensible men,let's stop this respectfully.I have respect for u and what u believe in,we can find other topics in which we can discuss with respect for each other.Thanks.
Hakuna utafiti hapo tabia zingine zinakuja automatically ndio maana watoto wa kike wanapenda chips na watoto wa kiume wanapenda mihogo hapo hakuna utafiti ukiwa kidume lazima uwe na tabia za tofauti.

Sasa wewe inavyoonekana ipo wazi kabisa wewe ni MWANAMKE...Ukibisha kama sio MWANAMKE uweke evidence ya picha maana WANAUME hatuna tabia za kuchukiana tena bila sababu yoyote eti "mimi simpendi tu" ebooo
 
Mkuu ingia Google tafuta top ten richest musician in East Africa, huyo jamaa yako hata top ten hayupo,cheki hii top four.
Jose chameleon
Diamond
Akothe
Jaguar
Wacha kukariri, tambua kuwa kuna search engine zaidi ya hiyo google. Na kibaya zaidi hata mtu akiingia hapo google hawezi kutoka na data kamili za kudhibitisha hayo maelezo yako..
 
Anamiliki kampuni ya Unity Entertainment...wakati in the same time nasikiwa kasaini na sijui na kampuni ya Babu Tale,or somebody else,ila kasaini kwa mtu tena recently tu...

Therefore kwenye medani ya biashara za ku-manage wasanii na biashara ya muziki kwa jumla hajafaulu...unaendaje kusainiwa kama msanii kampuni ya mwingine yako unamwachia nani?

Na pia,hizi taarifa za mali na mafanikio ya biashara kwa wasanii hua siamini takwimu,kiasili wasanii wote wanakuza vitu mara tatu zaidi ya ukweli just kujenga taswira ya showbiz,nothing more.

Hizo takwimu mi zitakua halisi kwangu kama nikizichukua na kugawanya kwa 3....

Na pia niweke wazi mrengo wangu,AY na MwanaFA nawachukia tu,sijui kwanini,I can not stand these guys...mi sio mnafiki,I hate these ni.ggaz for the sake of it....unajua kuna watu tu hua unawachukia bila sababu,basi kwangu mimi ni hawa jamaa,...basi tu,na sitaki ushauri [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Hahhaahaaaa hiyo ipo kabisa na una haki ya kuyasema ya moyoni, jamaa namkubali ila FA anavijitabia vya malingo flani vinaboa sana ila mi kuna mtu anaitwa Tunda Man nilimchukia toka siku nimesikia nyimbo yake ya kwanza toka enzi hizo nimejeribu kubalisha jinsi ninavyomchukulia ila nikisikia tuu sauti yake kuna kitu ndani kwa ndani nakasirika ghafla, Mungu anisaidie tuu kuniondolea hii chuki isiyo a sababu.
 
Mkuu ingia Google tafuta top ten richest musician in East Africa, huyo jamaa yako hata top ten hayupo,cheki hii top four.
Jose chameleon
Diamond
Akothe
Jaguar
Akhothee???
Kweli Mungu hamtupi mja wake
Nikilinganisha interview yake AYO TV na millard ayo
 
SIO KWELI, UMEONGEZA CHUMVI NYINGI SANA

Hebu tutajie hizo biashara nyingi zaidi ya lile duka la nguo pale sinza.

Ulipima hizo ekari zake zikafika 100? Hilo shamba liko kweli? Ukiambiwa ukalioneshe unaweza mkuu?

Hivyo vipindi vya EATV vinamuingizia shilingi ngapi?
 
Hahhaahaaaa hiyo ipo kabisa na una haki ya kuyasema ya moyoni, jamaa namkubali ila FA anavijitabia vya malingo flani vinaboa sana ila mi kuna mtu anaitwa Tunda Man nilimchukia toka siku nimesikia nyimbo yake ya kwanza toka enzi hizo nimejeribu kubalisha jinsi ninavyomchukulia ila nikisikia tuu sauti yake kuna kitu ndani kwa ndani nakasirika ghafla, Mungu anisaidie tuu kuniondolea hii chuki isiyo a sababu.
Haupo peke yako mkuu
 
Anamiliki kampuni ya Unity Entertainment...wakati in the same time nasikiwa kasaini na sijui na kampuni ya Babu Tale,or somebody else,ila kasaini kwa mtu tena recently tu...

Therefore kwenye medani ya biashara za ku-manage wasanii na biashara ya muziki kwa jumla hajafaulu...unaendaje kusainiwa kama msanii kampuni ya mwingine yako unamwachia nani?

Na pia,hizi taarifa za mali na mafanikio ya biashara kwa wasanii hua siamini takwimu,kiasili wasanii wote wanakuza vitu mara tatu zaidi ya ukweli just kujenga taswira ya showbiz,nothing more.

Hizo takwimu mi zitakua halisi kwangu kama nikizichukua na kugawanya kwa 3....

Na pia niweke wazi mrengo wangu,AY na MwanaFA nawachukia tu,sijui kwanini,I can not stand these guys...mi sio mnafiki,I hate these ni.ggaz for the sake of it....unajua kuna watu tu hua unawachukia bila sababu,basi kwangu mimi ni hawa jamaa,...basi tu,na sitaki ushauri [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
Nakuunga mkono katika swala la mtu kuchukia mtu lakini kiungwana hua tunachukia mtu huku tukiappreciate mchango wa mtu husika katika swala fulani.
Mfano mimi kuna wasanii siwapendi na showbiz zao lakini naappreciate walipoufikisha muziki wetu, sikumpenda marehemu as a person lakini nilimheshimu kwa mchango wake katika ubondia.
 
SIO KWELI, UMEONGEZA CHUMVI NYINGI SANA

Hebu tutajie hizo biashara nyingi zaidi ya lile duka la nguo pale sinza.

Ulipima hizo ekari zake zikafika 100? Hilo shamba liko kweli? Ukiambiwa ukalioneshe unaweza mkuu?

Hivyo vipindi vya EATV vinamuingizia shilingi ngapi?
hata masanja alivyosema utajiri wake unatokana na kilimo raia mlibisha sana kwhyo sikushangai
 
Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Mwenzie kwa mujibu wa jarada la Forbes domo la mond utajiri wake ni $4.5 million ambayo ni zaidi ya TZS 10bil na ndo anaongoza East Africa akifatiwa na Chameleone anayemiliki vitu vya thamani ya $3.9million ndo wanafata Akothee na Jaguar wa Kenya! AY yuko vizuri lakini tukubaliane huyu bwana mdogo na domo lake yuko vizuri zaidi. Mchawi mpe sifa yake!
 
Back
Top Bottom