binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Suala la kuwakilisha nchi kimataifa huwa nalitilia shaka sana. Napita tu mie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mleta mada kamsifia bila ya UDHIBITISHO WA HIVYO ALIVYOVITAJA,wewe ukisema kinyume na hivo utaonekana unachuki nae,chakufanya na wewe unampamba zaidi.Suala la kuwakilisha nchi kimataifa huwa nalitilia shaka sana. Napita tu mie.
huwa nashangaa maraia yanavyokurupuka humu ndani.. Zimbabwe katuzidi uchumi mpaka thamani ya pesa yake.zimbabwe hatuwapati kiuchumi Tz naona madogo wanaropoka tu
Ni kweli mkuu we unauelewa zaidiHivi unajua hiyo pesa unayoizungumzia wewe Mengi achange hela zake na MODEWJI,AZAM BAKHRESA,MANJI Bado hazifiki 5.6bill$?![emoji15][emoji15]
Kwa hiyo nitajiri kuliko DONALD TRUMP mwenye $ 5 blnhuamini ama?
Yani very mistaken hahaha5.6 billion dollars? Hahhaha! You must be mistaken.
$ ni alama ya nini labda maana inaonyesha huelewi unacho andika?Siujui,mi ninaoujua ni wa A.Y tu,ambao ni 29.7 b$. Au 29,700,000,000 $. Umeamini au hukuamini mi HAINIHUSU.
Muwe na tabia ya kufuatilia komenti zote za kwenye thread,mtakuwa mnanufaika na mengi sio umeona kitu tu unaanza kuuliza,hujui pengine hata wenzako wameshauliza hilo swali na kujibiwa........Soma KOMENTI no 124,ina majibu yote kwa nilichokiandika.$ ni alama ya nini labda maana inaonyesha huelewi unacho andika?
Kinyume cha Nakupenda ni Sikupendi na sio nakuchukia maana yangu unaweza usimpende mtu fulani sawa mimi mwenyewe kuna watu kibao siwapendi ila hiyo haijawahi kufanya niwachukie kwa sababu kumchukia mtu ni tabia za watoto wa kike wanaweza kumchukia wifi yao bila sababu yoyote.
Ndio maana nastuka kuona unamchukia jamaa tena bila sababu yoyote.
Tafadhali na wala sio kwa ubaya...Wewe Ni JINSIA GANI?
Instead mwambie akupe source5.6 billion dollars? Hahhaha! You must be mistaken.
Sasa wewe unamfahamu AYsema jamaa akiulizwa mkwanja alionao huwa hataji kabisaa