Maigizo yao ni ya kipuuzi. Kifo hufichua mengi sana. Wasanii huishi maisha ambayo siyo yao. Huyo AY amekuwa akisifiwa sana lakini hakuna kinachoonekana cha maana. Pesa ni kama kikohozi haijifichi. Ukiwa nazo itajulikana tu sio hadi kuleta matangazo mitandaoni.Wasanii wengi wana maigizo Ukweli unakuja kujulikana wakirudisha namba ,mlikuwa mnajua kanumba alikuwa hana hata kiwanja.?
Kwa misambwanda sawa.Shilole na Snura ndo wanaofunika kwa sasa
Kabisa Sanaa nyingi sana,huyo AY wanayemsifia ana hela sijawahi kusikia ana nyumba sehemu yeyote kama tunavyosikia kwa Diamond zaidi ya kuonyesha anaendesha Range Rover Vogue.Maigizo yao ni ya kipuuzi. Kifo hufichua mengi sana. Wasanii huishi maisha ambayo siyo yao. Huyo AY amekuwa akisifiwa sana lakini hakuna kinachoonekana cha maana. Pesa ni kama kikohozi haijifichi. Ukiwa nazo itajulikana tu sio hadi kuleta matangazo mitandaoni.
Heri Wenye Moyo safi na Wasio na Unafiki Ndani Mwao...Anamiliki kampuni ya Unity Entertainment...wakati in the same time nasikiwa kasaini na sijui na kampuni ya Babu Tale,or somebody else,ila kasaini kwa mtu tena recently tu...
Therefore kwenye medani ya biashara za ku-manage wasanii na biashara ya muziki kwa jumla hajafaulu...unaendaje kusainiwa kama msanii kampuni ya mwingine yako unamwachia nani?
Na pia,hizi taarifa za mali na mafanikio ya biashara kwa wasanii hua siamini takwimu,kiasili wasanii wote wanakuza vitu mara tatu zaidi ya ukweli just kujenga taswira ya showbiz,nothing more.
Hizo takwimu mi zitakua halisi kwangu kama nikizichukua na kugawanya kwa 3....
Na pia niweke wazi mrengo wangu,AY na MwanaFA nawachukia tu,sijui kwanini,I can not stand these guys...mi sio mnafiki,I hate these ni.ggaz for the sake of it....unajua kuna watu tu hua unawachukia bila sababu,basi kwangu mimi ni hawa jamaa,...basi tu,na sitaki ushauri [emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] .. tuko wengi. Mimi hasa huyo FA.!Tuache unafiki mkuu...huwezi niambia hakuna binadamu humu duniani humchukii just literally...acha unafiki be honest at least.
Entertainers wanapenda kua likable....mimi siwapendi hawa jamaa wawili...biashara zao ni muziki,ni public,na mi ni mmojawapo wa hadhira,kati ya watu mil40 nchi hii,nimetokea kuichukia kazi yao na whatever they do,I hate them for the f.uck of it.
Na kuchukia,I mean chuki haibagui jinsia,atleast acha unafiki for once.
Nawachukia tu,case closed.
Ungeparia kusema ay ndo msanii mwenye kichwa kikubwa kuliko wote tzAnaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania, vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa mpaka ulaya. Historia yake ya muziki ilianzia miaka 1998
-Pesa yake ya kwanza kurekodi ngoma studio alipewa na mama yake Tshs 20000/=
-Ni mkulima (ana mashamba ya mpunga zaidi ya heka 100 huko ifakara Morogoro
-Ni mjasiriamali mwenye biashara nyingi ikiwemo duka la nguo
-Ni mmiliki wa vipindi vya TV vya MKASI na NGAZI KWA NGAZI vinavyorushwa EAST AFRICA TV
-Anamiliki kampuni ya UNITY ENTERTAINMENT inayojihusisha na uwakala wa kazi za sanaa, matangazo na kuunganisha wasanii, pia kuleta wasanii wa nje
CONCLUSION: HAYO NI MACHACHE KUHUSIANA NA SUPER LEGEND AY MZEE WA COMERCIAL