Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Wivu + majungu
 
Mbona jamaa msafi au ulitaka anywe maji ndio uone usafi wake. Alafu ndugu zangu wanaoandaa tuzo Azam kama hawajampa muigizaji bora nitawashangaa sana na sitowaelewa.
 
Kila mtu anamaisha take uweziii lazimisha mtu haishiii unavotaka wewe na muonekano mzuur haimaaanishii mtu anamaisha mazuriii au muonekano mchafuu haumaanishii mtu ni maskiniii ni preference na life style..........usipotezeee muda wako kuhangaikia muonekano wa mtu mind your business usikute yeye ana good life more far from you stick to your life if you suck at it ni kivyako usilazimishe mtu aishi maisha ambayo wewe unataka
 
Kwenye sanaa kuna kitu kinaitwa STYLE!
huu ni upekee wa msanii!
SASA best !
HUO HUO UCHAFU CHAFU WAKE NDIO ULIOFANYA UMUANDIKIE THREAD!
sawa?
haya kakojoe ulale!
Kumbe uchafu siku hizi ni sifa , nilikuwa sijui hilo.

Haya ninakuona kiongozi wa wachafu umekuja kumtetea mchafu mwenzako.
 
Kwani
Kwani muonekano wako ukoje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…