huwa anabeba uhalisia wa mazingira anayoigizaKumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Sisemei kwenye filamu, ninasemea katika maisha ya kawaida jamaa ni mchafu mchafu sana.huwa anabeba uhalisia wa mazingira anayoigiza
ni sifa ndio!Kumbe uchafu siku hizi ni sifa , nilikuwa sijui hilo.
Haya ninakuona kiongozi wa wachafu umekuja kumtetea mchafu mwenzako.
Kama ni sifa basi hiyo ni sifa ya kijinga.ni sifa ndio!
kama ulivyo wewe MTANASHATI!
yeye MCHAFU CHAFU!
oya hilo jicho lako nalo ni chafu uwe unalipiga maji asubuhi hahahhaah
Kabisa mkuuHeri nguo ziraluke kuliko Akili , maana utajiri wa Masikin ni ujinga wake mwenyewe.
Huyu jamaa tokea wasanii wawepo ,ndio namba moja kwakutoa movie zenye maana halisi ya maisha bongo na Afrika.
Unataka apake poda kama wewe avae na surual za kubn mapja kama wewe auSisemei kwenye filamu, ninasemea katika maisha ya kawaida jamaa ni mchafu mchafu sana.
Yaani umemhukumu kwa post zake tu??Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Jicho vipi mkuu, ohoo unaongelea hiyo picha? alokwambia ndo mimi huyo nani? mi nimeweka picha tu wala jamaa simjui.oya hilo jicho lako nalo ni chafu uwe unalipiga maji asubuhi hahahhaah