Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
huwa anabeba uhalisia wa mazingira anayoigiza
 
Mtoa mada umelewa mi madebe jirani yangu na ni msafi sasa nakushangaa sana afu acha tabia za kike kufatilia mwanaume mwenzio
 
Hizo nguo chafu anavaa akiwa nyuma ya kamera ila sidhan ndio maisha yake ya kila siku...unataka mtu asiigize akiwa na mwonekano wa kimaskini wakati maskin mtaani wako kibao kuliko hata matajiri
 
Huo muonekano wake ndo unaompatia pesa. Kuwa tofauti kuna faida.
 
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Yaani umemhukumu kwa post zake tu??
 
oya hilo jicho lako nalo ni chafu uwe unalipiga maji asubuhi hahahhaah
Jicho vipi mkuu, ohoo unaongelea hiyo picha? alokwambia ndo mimi huyo nani? mi nimeweka picha tu wala jamaa simjui.
 
Kalenga soko la ndani,hujui kuwa muafrika hafi kwa uchafu
 
Back
Top Bottom