HaaaaaaaKuna Wanaume walitakiwa wazaliwe wakiwa wanawake..
Mkuu habari yakoHaaaaaaa
Salama mkuu!! Habari ya majukumu kaka??Mkuu habari yako
Mada za huyu ndugu zinaletaga ukakasi kwelii utazani InstagramMkuu habari yako
Huyo ni mchafu pia ni masikini.Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa "mchafu" na kuwa "maskini".
Swalama Kabisa, Mungu anasaidiaSalama mkuu!! Habari ya majukumu kaka??
Huyu bwana anafaa sana instagaramuMada za huyu ndugu zinaletaga ukakasi kwelii utazani Instagram
Itakuwa anatoa huko afu anatuletea huku!!Huyu bwana anafaa sana instagaramu
Oooh kweli inawezekanaItakuwa anatoa huko afu anatuletea huku!!
Mbona Mjomba (Mrisho Mpoto) anatembea peku hadi Ulaya na humsemi?Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Wewe unafikiri ni kwasababu ya usafi?Ramsey Nouh, Omotola Jalade,Genevive, ,
Idris Sultan ameshirikishwa na wakali wa Hollwood.
Monalisa kila kukicha tunamuona akichukua tuzo mbalimbali za kinataifa nk.
Idris movie gani hiyo ya Hollywood??Ramsey Nouh, Omotola Jalade,Genevive, ,
Idris Sultan ameshirikishwa na wakali wa Hollwood.
Monalisa kila kukicha tunamuona akichukua tuzo mbalimbali za kinataifa nk.