Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

huyu jamaa ni kwikwi movie zake ukiangalia ni lazma ujifunze kitu
 
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa "mchafu" na kuwa "maskini".
 
Usikute masharti ya matunguli yake yanamfanya awe hivyo, si unajuwa Bongo ni kama Nigeria, kila kitu ni matunguli tu.
 
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Mbona Mjomba (Mrisho Mpoto) anatembea peku hadi Ulaya na humsemi?
 
Ramsey Nouh, Omotola Jalade,Genevive, ,

Idris Sultan ameshirikishwa na wakali wa Hollwood.

Monalisa kila kukicha tunamuona akichukua tuzo mbalimbali za kinataifa nk.
Wewe unafikiri ni kwasababu ya usafi?
Je yule bushman aliyekuwa anatembea Mata.ko wazi na wanawe wale wazungu wangeigiza nae?
 
Ramsey Nouh, Omotola Jalade,Genevive, ,

Idris Sultan ameshirikishwa na wakali wa Hollwood.

Monalisa kila kukicha tunamuona akichukua tuzo mbalimbali za kinataifa nk.
Idris movie gani hiyo ya Hollywood??
Monalisa ni tuzo ngapi kwani??
 
Kwenye Uzi huu naona karibia wachangiaji wote wamempinga mwanzilishi wa mada, hii inaonesha picha gani???
 
Umenunua kazi yake? Kama hujanunua yeye atapata wapi pesa za kufanya unavyotaka wewe
 
hebu picha yako na yake tuone nani amechakaaa
 
Back
Top Bottom