Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii
Hapana bhana hii nayo ina radha yake ndio maana nawe ukapata nsfasi ya kumzungumzia akitoka katika hali hiyo uisemayo atapoteza uhalisia wa yale ayatendayo.Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.
Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi ila sitazitaja maana nitakuwa kama nampa promo tu .
Pointi yangu ya msingi ni kwamba huyu jamaa anamuonekano wa kimasikini sana halafu mchafu mchafu sana hajijali na anapenda uswahili kupindukia.
Kila anayopost ukiitazama utakuta miguu michafu michafu, au mazingira ni machafu machafu na mbaya zaidi ni uhalisia na sio labda yuko location ana shuti muvi.
Kwa ambao mpo karibu yake mchaneni ndugu yenu azingatie usafi na ajiweke kwenye muonekano nadhifu kidogo sio huo muonekano alionao wa kimasikini mpaka unakera.
View attachment 864913
Ni kweri lakina lugha iliyotumika ni kali mno!kwani wewe ulishafikishiwa ujumbe uache mambo ya kike kike?
Yeye anaigiza hali hiyo haigizi uboss wala ukurugenzi na ikiigiza ustaa ayltakua munavyotake awe kwa sasa mwache awe hivyoKumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.
Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi ila sitazitaja maana nitakuwa kama nampa promo tu .
Pointi yangu ya msingi ni kwamba huyu jamaa anamuonekano wa kimasikini sana halafu mchafu mchafu sana hajijali na anapenda uswahili kupindukia.
Kila anayopost ukiitazama utakuta miguu michafu michafu, au mazingira ni machafu machafu na mbaya zaidi ni uhalisia na sio labda yuko location ana shuti muvi.
Kwa ambao mpo karibu yake mchaneni ndugu yenu azingatie usafi na ajiweke kwenye muonekano nadhifu kidogo sio huo muonekano alionao wa kimasikini mpaka unakera.
View attachment 864913
huyu jamaa anaboa sana wewe fatilia post zake utaelewa kwanini nimemuuliza hivyo?Ni kweri lakina lugha iliyotumika ni kali mno!
Aisee.Hivi wewe jamaa wakujiita 'Hance'... huwa ni demu? kama sio demu, basi una elements za 'kuchora 7'.
Siredi zako huwa za kike kike sana... mwandiko wako unaonesha wazi unavyojua kuchambana.
-Kaveli-
Nakazia tu,hance mtanashati unaongoza kwa thread za kikuda hapa JFHance Mtanashati unaongoza kwa thread za kikuda hapa JF
Je umemuona uvaaji wake akiwa nje ya sanaa?..je ni yapi maudhui ya hizo filamu anazoigiza, zinamtaka aweje? Je unataka kila msanii apake waves na super black kichwani!..Tatizo kubwa ni mchafu mchafu sana.
Ni wife wa madebe HuyuUchafu wake unakuathiri nini wewe, wewe sio mke wake kwamba utalala naye upate shida kisa uchafu wake.
Uhuru wa maisha yake uache ulivyo.
Watamuita part ya zombies Au grootKumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Huyo jamaa mpaka nje ya sanaa mchafu mchafu.Je umemuona uvaaji wake akiwa nje ya sanaa?..je ni yapi maudhui ya hizo filamu anazoigiza, zinamtaka aweje? Je unataka kila msanii apake waves na super black kichwani!..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio makosa yake ana tumia simu ya ITEL so pics zake nyingi zina itaji maombi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa.Nakazia tu,hance mtanashati unaongoza kwa thread za kikuda hapa JF
Je umeona picha zilizowekwa na mdau mwingine hapo juu? NAZO NI MCHAFU?.. acha kuchafua watu waliotumia jitihada zao kubwa kwenye kujiinua na kujitafutia riziki yao ya halaliHuyo jamaa mpaka nje ya sanaa mchafu mchafu.