Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Tubishane kwa hoja toa maoni yako
Hivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri kuliko wote Tanzania?

Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…