Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

nimewaambia mkuu pitia replies utaona ani wa kawaida sanaa sa sijui mtoa mada na wenzake hawajawahi kuona watoto warembo ndo maana inakuwa hivyo huyo dem wa kawaida sanaaa,
Nikekutana naye live alafu mm nimempambanisha na watangazaji wenzie
 
Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali

Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo

View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075
Kama binadamu, una uhuru wa kutumia ubongo wako kufanya tafakuri na kutoa conclusion, wazo lako sio la mtu mwingine
1. Usilazimishe kuwaaminisha watu kitu unachokiamini wakiamini
2. Watu wasikulazimishe uamini wanachokiamin

"Kila mtu kuna kitu anakipenda kwa mtu" wengine tigo 1st, wengine facial, nk
 
Back
Top Bottom