Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Nafkiri ww hujawai kumuona live huyo meena ni wa kawaida sana,,ila ana kipaji sana
 
Huyo anaongea kama kameza matonge mdomoni very boring kuna vibinti vipo itv hatar sana
 
Naomba checklist ya uzuri. Ili niangalie na huyi wangu if ni. Mrembo zaidi
 
kama mwanamke anayekuwa ga na ayo ndio huyu basi nilianza kuipenda sauti yake ya kukwaruza kabla sijamuona
na jinsi anavyoongea yupo so real
mi naipenda mikwaruzo ya sauti yake,mambo ya uzuri mwingine nawaachia wakware
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…