Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Ufoo Saro ndiyo chuma kikali katika tasnia ya habari nchini. Ni mtazamo wangu naangalia ki comedy zaidi.
 
Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali

Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo

View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075
Alikuwaga km tomboy mwanzo but now kapevuka ka change,she is beautiful sn na nawelewa knoma,
Nasktika kila nkmuona hua ni ishu za muhimu,
I can say she is addicted to her work,yy kaz ni kaz kwelkwel hta kuleta mada zako bnafsi utajishtukia[emoji4]
Miss independent,ni type ya lady I usual say "i like,i could but i wont". Beautiful meena 'woman of steel'
 
Mahaba yako ndo yame kutuma uandike kuliko iyo wote au ,,[emoji41]
tapatalk_1540550484501.jpeg
 
Yupo humbe sanaa
Humbe ndio nini?Au ulikuwa unaamanisha Humble? Upo sahihi kabisa,huyu mtangazaji ni mrembo kwa macho yako,lakini kwa wengine watakuambia Sio mrembo.Si umesoma wengine wamesema hana chura?Kwa wengine kwa sababu hana chura basi ni disqualification ya uzuri.Usi-generalize kusema ni mrembo ili watu waseme yesssssss!!
 
Du hilo shindano la kusaka mtangazaji mrembo tz,lilifanyika lini mkuu?co mzuri kabxa uyo,zunguka uone,ama unaangalia Cloud's tu au dsm tu.aisee Hapana.
 
Nimezeeka?

Nakumbuka niliwahi kusoma kwenye site fulani hivi zamani.. Nahisi ni Darhotwire.. Kwamba Mtangazaji huyu ndiye mrembo kuliko wote Tanzania.. Halafu ikawekwa picha ya Dj Fetty..

Sisemi kwamba huyu siyo mrembo.. Nashangaa tu muda umeenda sana..

Nimezeeka?
 
Back
Top Bottom