wengi wa wakristo hasa wasio na elimu au wale walioshiba imani wanaamini huyu jamaa ndo yesu...kuna wamama ukiwaambia huyo sio yesu wanabishana na wanatamani wakutie makofi...kuna rafiki yangu alinambia aliwahi kumwambia mama yke aitoe picha ya huyo jamaa ndani mwao kwa kuwa jamaa sio yesu halisia...mama ake asitake kumuachia radhi nn,na kumwambia mwanae anapotoka!
kama hamuamini km ni yesu kwann kweny picha zake munamuandika YESU/JESUS na sio Brian!indirectly huyu jamaa ananasibishwa na yesu na hata kuabudiwa pia na mpk sanamu zipo za sura ya huyu muigizaji mjanja...inakera sana.