Muingereza aitwaye Brian Deacon ndiye njemba iliyomuigiza Yesu. Ukimuona Yesu msalabani ukamlilia hata kumuabudu, jua ni Deacon.https://hope1032.com.au/stories/faith/2016/brian-deacon-the-face-of-jesus/
Huyu jamaa ni mwigizaji anayeigiza chochote hata uwe ushoga ilmradi apate fedha. Je kama Kanisa limewahadaa waumini wake wajinga kwa miaka yote hii, kwanini lisishitakiwe kwa kueneza dini kwa uongo sawa na uislam unavyoenezwa kwa kuruhusu mtu aslimu lakini hapo hapo akijiondoa auawe?
Hapa unajifunza nini?
Kwanza, wanaomtangaza na kumhubiri Yesu hawamjui na inawezekana hakuwahi kuishi na kufanya yote anayodaiwa kufanya. Sawa na waislam, baada ya kugundua kuwa Mohamed anaweza kuleta utata, walikataa kuchapisha picha zake jambo ambalo linajenga dhana kuwa hakuwahi kuwapo wala kufanya hayo anayodaiwa kuyafanya. Kweli dini ni kanyabwoya na utapeli wa mwaka.
Nawasilisha.