Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

UNAUHAKIKA NA UNACHOONGEA AU UNAROPOKA TU?
 
wengi wa wakristo hasa wasio na elimu au wale walioshiba imani wanaamini huyu jamaa ndo yesu...kuna wamama ukiwaambia huyo sio yesu wanabishana na wanatamani wakutie makofi...kuna rafiki yangu alinambia aliwahi kumwambia mama yke aitoe picha ya huyo jamaa ndani mwao kwa kuwa jamaa sio yesu halisia...mama ake asitake kumuachia radhi nn,na kumwambia mwanae anapotoka!
kama hamuamini km ni yesu kwann kweny picha zake munamuandika YESU/JESUS na sio Brian!indirectly huyu jamaa ananasibishwa na yesu na hata kuabudiwa pia na mpk sanamu zipo za sura ya huyu muigizaji mjanja...inakera sana.
 
Aliigiza vyema sana kwenye ile movie

Hivi kwa uigizaji ule kama angepata deal lingine la kucheza kama jambazi/katili angekubali??!
 
Alishawahi kuja na watu tukamuuliza we mbona unafanana na yesu akasema me ndo nimecheza ile filamu ya kwanza
 
Na wahusika hawataki kusikia ukweli wa namna hiyo. Mambo yameachwa yajiendee ili lengo litimie, Kuna linalokusudia nyuma ya huo mchezo
 
Wenzako wanapinga kwa mpingo ulio mkuu but for real jamaa anaabudiwa kwa kiwango kikubwa tu
 
Mipango maalum imewekwa na hakuna namna ya kuchomoka kwenye huo mtego, asa kama viongozi tu wadini hiyo wako na such mentality how about those local believers
 
Nikiangalia passion of Christ najisikia kulia tuu
 
Na wahusika hawataki kusikia ukweli wa namna hiyo. Mambo yameachwa yajiendee ili lengo litimie, Kuna linalokusudia nyuma ya huo mchezo
Kweli mkuu....nahisi wahusika wana malengo yao mengine tofauti na ya kiimani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…