David Guetta
Member
- Jun 25, 2019
- 68
- 107
Ni kweliVery beautifull indeed.
Hawezi kuwa mrembo dunia nzima huyu,,, hamfikii mke wangu hata theluthi
Automatically wanawake weusi kama hao huwa wamoto, wekundu kwa ndani, yani inakuwa Nyekundu na joto la kutosha.... Halafu wanakuwa hawanuki bali wananukia kike
Jitahidi mke awe Maji ya maharage
MBONA HANA CHURA SASA NA SISI KIGEZO CHA MREMBONI CHURAAA
Unajua hata Cleopatra ni Ceaser alimpaisha hakuwa mzuri kivile
BANGI INATUMIWA VIBAYA SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Una experience ya kutosha mkuu -- asante kwa kutuwakilisha vyema wanaume wenzako
Tatizo mnapenda kuangalia rangi Sio na mmekaririshwa rangi nyeupe na nywele ndefu ndio uzurimmmmm hapana aiseee!
πππππkuna thread ilianzishwa inasema wanawake weusi ni wa moto na watamu.
inabidi mabeberu waongezee hapo kwamba
ni mzuri na mtamu.
Ni mzuri ila co kwa duniaHuyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo
Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake
Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505